Search results

  1. Profesaa

    Nafazi za kazi/ajira zinazotolewa na Serikali ni vyema zote kuwa katika mifumo ya PDF kama zinavyofanyika nyingine na kusambazwa

    Habarini Ndugu zangu, NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI 1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano kuna baadhi ya post nafasi za kazi unakuta umeandikiwa moja kwa moja anuwani ya kuwasilisha maombi yako...
  2. Profesaa

    Procurement and supplies officer grade II at HESLB

    sawa mkuu watanzia tumeona lakini pia baadhi yetu tunapia changamoto hii baadhi ya kazi zinatolewa kwa Umma mfano kama hii katika uandishi wa barua ya maombi ya kazi katika upande wa anuwani au address ya sehemu husika ndio hua inatupa changamoto ajira kama hii anuwani ni ipi inapaswa kuwekwa...
  3. Profesaa

    Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  4. Profesaa

    JERRY5

    Habarini nyote vijana wenzangu na pia wakubwa shikamoni nipo na idea au mawazo ya kuanzisha kipindi cha television idea ya kipindi ninacho pamoja na muongozo mzima wa kipindi na namna ya uendeshaji Tatizo sijui garama ya kuendeshea kipindi hicho kwa tv hivi nilikua naomba mmakadirio yenu Mfano...
Back
Top Bottom