Search results

  1. Bigjahman

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mi nazitafuta nyimbo izi mbili tu oh yeah foxy brown na julio iglesias when i need you iwe katika mfumo wa mp3 nitashukuru sana
  2. Bigjahman

    Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

    Ivi jimbo lake si lipo karibu na mkoa wa arusha au ni arusha kabisa?
  3. Bigjahman

    Old School: Je, Unazikumbuka nyimbo na wasanii wa Bongofleva wa enzi hizo?

    Tupia ngangari apa mkuu nimeitafutaga sana ilo dude sijalipata
  4. Bigjahman

    Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    Kali sana hongera sana ndugu muandishi,mi nitakuwa nasupport story zote kali kuanzia apa
  5. Bigjahman

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    tunaendelea lini mkuu?nahisi itakuwa bonge moja LA story kama kawaida yako
  6. Bigjahman

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Yaan iyo mdada apo juu ni real definition of ukichaa wa dini, Mungu mwenyewe anatafutwa kwa akili, umepewa ubongo ebu utumie asee, Uko mahakamani kwa akili izi unapigwa mapema sana na hamna ata kumi utapata hauwajui wanadamu ww, ety kesi itapangiwa hakimu mwanamke ivi unafikiri kila mwanamke ni...
  7. Bigjahman

    Jerry Silaa hauwezi kurudi bungeni. Asia Msangi popote ulipo jiandae kwenda Bungeni 2025

    Mkuu usemayo ni kweli road imejaa mahandaki nimepita uko leo nimeona kuna hospital kubwa tu apo nkawaza ikitokea rufaa au mgonjwa kupelekwa apo anafikaje asee?? Road ni mbaya sijawahi ona mwenyeji wangu akaniambia uku wakurya wameridhika zao nana pikipiki au baiskel za mayai au maziwa...
  8. Bigjahman

    Jimbo la Kibamba, barabara ni mbovu mno. Wizara ya Ujenzi mtusaidie jamani

    Asee nimepita kitunda msongola had mbande ni nomaaaa sijui kama maeneo hayo yana mbunge asee ni mahandaki full na ndo ilala Iyo yaan jiji lenyewe yaan
  9. Bigjahman

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Kwema MI naomba chimbo LA mifuko wakuu
  10. Bigjahman

    Tahadhari kwa wakazi wa Arusha, ni kuhusiana na watendaji wasio waaminifu na wazembe kazini

    Hivi hii kampuni ya Kambele ni ya mkubwa gani hapa mjini? Maana asee sio mara moja au mbili wanasababishaga migogoro ya ardhi, mf wanafoji nyaraka wanauza viwanja vya raia au kiwanja kimoja mara kadhaa, nasisitiza sio mara moja nimekutana nayo haya mamigogoro halafu viongozi wa kata hawana...
  11. Bigjahman

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Daah acha tu iwe, Rasmi nimekata arosto bana, kwaherini
  12. Bigjahman

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Twende kazi bado mkuu, nko home tu Leo sioni ata kitu cha kufanya online uku zaid ya ilo simulizi basi siku inakuwa mzigo kweli
  13. Bigjahman

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    Kesho hii apa imefka mkuu Bishop, hopefully ugali njema eroo tufanye wepesi tumalize huu utata man
  14. Bigjahman

    Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

    Very simple Nenda mahakamani pinga uteuzi wa uyo msimamizi kwasababu hizi na nyinginezo mf mda mrefu aliotumia kusimamia na mrejesho zero, atatenguliwa then mkuu ww upo hair watoto wakiume mirathi itagaiwa kwenu na asilimia chache sanaaa inaenda kwa wazaz wake mwanamke uyo shemeji mduansii...
  15. Bigjahman

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mpk Jumapil bado tu asee, saiz naichungulia Holla Daah huu uraibu sasa inabidi nipambanie asee unitoke
  16. Bigjahman

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Daah nimekuja mbio asee kumbe bado, Yaan hili simu hii siku ni ndefu asee
  17. Bigjahman

    Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    NI kwere
  18. Bigjahman

    KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Jamii forums Imekuja kuwa ivi tena,?Yaan sio chanzo cha uhuru WA Habar sahihi kuna kuchuja taarifa tena?
Back
Top Bottom