Search results

  1. KUCH KUCH

    Tablet ya ukweli inauzwa

    NAUZA TABLET NINAYOITUMIA NI SAMSUNG GALAXY TAB A 9.7 Model number SM-P555 WHITE in colour android version 7.1.1 (Nougat) RAM 2GB INTERNAL 16 GB Very slim INA MIEZI SITA SASA HAINA TATIZO. SIJAIROOT BEI NI MAELEWANO 0687 93 35 34/ 0737017347 Nimeshindwa namna ya kupandisha picha,
  2. KUCH KUCH

    TOYOTA VOLTZ (2002 _ 2004)

    Habari wanajamvi, Nimejichangachanga nimepata 12M, je naweza kuagiza gari tajwa hapo juu kutoka Japan. Pia, ukiacha makampuni ya Beforward na Tradecarview, nani wengine wenye huduma nzuri na makini. NYONGEZA Mwenye ujuzi au taarifa yoyote kuhusu hii gari asisite kutupia neno. NAWASILISHA...
  3. KUCH KUCH

    Mashamba kwa ajili ya kilimo yanauzwa

    Kuna maeneo mazuri na ya kutosha, kwa ajili ya kuwekeza katika nyanja ya kilimo. Ukubwa: Kuanzia heka moja hadi mia (100). Kama utahitaji Sehemu/eneo: Mashamba yapo kijiji cha kibudi - bupu Wilaya ya mkuranga-mkoa wa pwani. Bei: Maelewano/kupatana Mawasiliano 0687 93 35 34. 0715 84 83 16...
  4. KUCH KUCH

    Nawezaje kuangalia ZBC 2 kwenye simu au tablet yangu?

    Wanajamvi habari, Naomba kufafamishwa kuwa naweza kuangalia channel hii ya ZBC 2 katika Tablet (Cm) yangu? Kama ndivyo, nifanyeje? ASANTENI.
Back
Top Bottom