Pole ingekuwa vema kama alivyoshauri mjumbe mmoja hapo juu kuwa ueleze hapa hapa hadhalani ili upewe ushauri kuliko kusubiri mtu akufuate inbox, kwani usipofuatwa utaendelea kuwa na tatizo lako.
Lkn pia wataalam wa masuala ya saikolojia wanadrma kuwa ukiweza kulielezea tatizo lako kiufasaha...
Ungetoa darasa hapa ungetusaidia wengi kwani hata Mie nasumbuliwa na tatizo linalofanana na hili, na hadi Leo sijaweza kutumia Wasap, wala mtandao wowote wa kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa kibaraka wa mtu ni mbaya sana coz utakuwa huwa Uhuru wa kuamua,kufikiri na kasema kwa Uhuru na haki Bali utasema utayafanya mambo yote kwa ajili ya kumridhisha mtu,huyu waziri ana uchu na tamaa ya madaraka na kama sivyo basi anaogopa kuachia ngazi ili kuendelea kuficha madudu aliyowahi...
Nimejaribu kuwaza sijapata jibu ndani wa wiki mbili tu baba mwenye nyumba amesha wadhihaki wasaidizi wake wawili tena kwa mbwembwe na kejeri ya hali ya juu,najiuliza nini kinawatesa hawa wasaidizi wake kutotoa maamuzi magumu ya kumfanya nae asifiri kidogo, je uchu wa madaraka wa wasaidizi wake...
Naanza kuwa na mashaka ya mahusiano ya kibaiolojia baina ya bashite na baba jesca,nadhani tukifuatilia vizuri tutajua lilifichika zaidi baina ya watu hawa wawili nje na uongozi wao,haiwezekani wakafanana akili mbovu kiasi Hiki,nimeshangaa sana kuona mtu anafanya utumbo halafu bado...
Mie mpenzi wangu kanifanya niende shule kuongeza elimu coz nimempata yeye ana masters yake kichwani nami wakati huo Nina kadploma kangu kwa kuwa ninampenda na haonyeshi kuniumiza nikaona niongeze elimu ili kuendana nae,now nimemaliza degree yangu naanza kuwaza masters.
Hapa Ndipo huwa naona mapungufu na ujinga wetu sisi wakristo,na biblia inasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,na pia inasema tuwe wapole kama njiwa na wajanja kama nyoka, Sheria zimetungwa ili zitumike na hatukai mbinguni Bali tunakaa Duniani ziliko sheria ,habari za kusamehe hazipo...
Nilifundishwa kuwa baba halali hatambulishwi kila wakati.
Ukiona kama wewe ni baba na unaporudi nyumbani kila siku mama wa watoto wako anaanza kuwatambulisha watoto huyu ni baba yenu au baba mwenyewe ananza kusema baba yenu nimerudi ujue kuna walakini, yamkini watoto wakawa sio wake, nimeliona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.