Search results

  1. L

    Mara: Mume na mke wauawa kwa kukatwakatwa mapanga

    Kanda ya ziwa kuna tatizo, na hili ni lazima lipatiwe majibu
  2. L

    Siri 5 Mauaji Msikitini

    Jeshi la Polisi peke yake kuwapata wauaji itachukua muda mrefu. Bali iwapo wananchi wataamua kufunguka na kutoa majibu ya tatizo hili, ni wazi kuwa watuhumiwa wote watakamatwa. Tuwape ushirikiano jeshi la polisi.
  3. L

    Rais alidanganywa? Vitambulisho vya NIDA vina signatures

    Rais alishamaliza kazi. Watanzania hatuhitaji hoja ya sahihi iliyofichwa. Je, hizo mashine za kugundua sahihi hiyoo ilipo ipo wapi? Au ndio mwanzo wa kutengeneza dili lingine la kula hela ya wananchi kwamba sasa yafaa kufunga mashine za kugundua sahihi. Hapana, imetosha.
  4. L

    Lipumba amtaka Rais Magufuli atangaze mshahara na marupurupu yake

    Weka wako kwanza ndipo Rais naye aweke!
  5. L

    Lipumba amtaka Rais Magufuli atangaze mshahara na marupurupu yake

    Binafsi sioni hekima yoyote iliyojificha kwenye kumtaka Rais atangaze mshahara wake. Viwango vya mshahara alivikuta na vimekubaliwa kwenye Bunge hivyo hata upunguzaji wake ni lazima ufuate taratibu zake. Je, kutangaza mshahara wake kunapunguza au kuongeza nini kwenye utendaji wake ambao sisi...
  6. L

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Hili ni bonge la taarifa, hakuna mashaka yoyote kuwa imejaa ukweli
  7. L

    Mlinzi wa Mfalme Oman Mbaroni

    Jengeni tabia ya kuwa wavumilivu wakati serikali inatekeleza majukumu yake. Hoja ya kwamba kwa nini haishughulikii suala la twiga hai pale ushahidi utakapokamilika utalisikia. Lakini haiwezekani leo serikali iache kushughulikia matukio yenye ushahidi wa wazi eti kwa kuogopa kuwa huko nyuma kuna...
  8. L

Back
Top Bottom