Search results

  1. H

    Car diagnosis device with chatGPT

    Nawaza, chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard zitakua more eeficient. Kwa sasa hizi devices zinatoa results kwa code, ambazo kama sio mtaalamu...
  2. H

    Traffic police na kosa la ubovu wa gari

    Habari, Juzi kuna mdau kasimamishwa na Traffic police anataka amwandikie fine kisa ubovu wa gari yaani bumper la mbele limeharibika, Tulikua tunawaza, huu ujasiri wanautoa wapi? Bumper la gari limeharibika kutokana na ubovu wa barabara, kwa nini fine wasitozwe wajenzi wa barabara kwani wao ndo...
  3. H

    Airtel internet

    Aisee kwa muda mrefu nilikuwa naiaminia internet speed ya airtel..lakini kwa hizi siku za karibuni...kasi ya airtel ni ndogo mno...kama konokono....kufungua kapage kadogo dogo tu kapdf kanaloooodi...mumeshatuboa airtel..mjipange upya...mbaya zaidi umenunua kifurushi cha 1gb..then kasi ndo hio...
  4. H

    Msaada taratibu za kuanzisha Dispensary

    Habari za asubuhi wanabodi,..nilikuwa naomba msaada kwa anaye jua taratibu zote za kuanzisha Dispensary anisaidie tafadhali. Nilichokifanya hadi sasa: Nimepitia website ya Wizara ya Afya lakini sijapata maelezo ya kutosha
  5. H

    Tatizo la website ya TCU kutofunguka

    habari za asubuhi wakuu...hili liwebsite la TCU mbona halifunguki ukizingatia applications zote ni online http://www.tcu.go.tz/ wakuu kama kuna unachawi mwingine unatumika kufungua hii website tusaidiane..
  6. H

    Parking ya Karume

    Nawasalimu, Wadau hivi lile eneo la pale karume ambalo utakuta magari ma 2/3 yameegeshwa na hawa machinga wakiwa wamepanga bidhaa zao lilijengwa kwa lengo gan? Maana parking sio parking na pia sio soko.
  7. H

    kuhusu adobe master collection cs5.5

    hope mko poa.....nahitaji kujua kama kuna VIDEO CONVERTER katika hiyo package ya adobe master collection cs5.5 na kama ipo, nitajie jina yaitwaje?.....thanks in advance
  8. H

    blame the MAYANS...

    :boxing::boxing::boxing::boxing::boxing: BOXING DAY
  9. H

    am sorry you teens

    i thank god i did the following 1. I lived 2 decades(1990-2012) 2. I survived 2 centuries(1900-2000) 3.i have seen 2 millenium(1000-2000)...happy twenties.,..we rock ...
  10. H

    exactly like JF!!!

    hey open the link EXCEL VIDEO TRAINING/TUTORIALS the site looks exactly like JF except few parts .....can any one tell me ni tool imetumiaka kutengeneza JF ?(just curious).....
  11. H

    agree kama ishakutokea kwa exam

    we unafanyaje ikikutokea hiyo??
  12. H

    msaada please kuhusu LASER EYE SURGERY

    Habari waungwana...nauliza 1,hospitali gani wanafanya hiyo surgery?. 2.inagharimu kiasi gani? 3.efficiency yake ukilinganisha na kuvaa miwani ikoje? mjuzi yeyote naomba afafanue hapa au PM .....thanx in advance
  13. H

    phone cover:dawa ya wezi wa cmu

    nadhani hii ni dawa muafaka kwa wezi wa cmu
  14. H

    CECAFA cup na utoaji zawaji....

    awali ya yote nitoe pongezi kwa kukamilisha mashindano hayo kwa mwaka huu...upande wa wangu niliona utoaji wa zawadi kwa washiriki mbalimbali ulikuwa mbovu...kwa maana ya kuwa tuliona pale kuwa watu walikuwa wanapewa pesa cash zikiwa kwenye bahasha...hii ilianzia wachezaji hadi timu...
  15. H

    TCU....even simple english is difficult for you!!!.....

    sasa Weclome na Sytem ndo nn???
  16. H

    kuhusu ugonjwa wa moyo

    Wakuu, kutokana na uchunguzi mdogo niloufanya nimegundua kuwa siku za hivi karibuni kumekuwa na idadi kubwa ya watu(hapa Tanzania) kufa kwa ugonjwa wa moyo......so nilikuwa naomba kujuzwa vyanzo vya ugonjwa huu na namna ambavyo tunaweza kujizuia nao...:help:
  17. H

    Swali wandugu naomba msaada wenu

    nimepitia habari ya gazeti la mwananchi asubuhi hii...mbunge mmoja anashauri walimu ambao ni wafungwa magerezani watumike kufundisha shule za kata.SWALI;huko magerezani kuna waalimu wangapi?
  18. H

    Feza boy's

    Feza boys hainaga masifa na promo kihiiivyo ila mambo yao nima aisee...embu ichek kwenye results za form6 this year yaan ni noma
  19. H

    people be careful with politics

    huu ni ushauri wa bure,siasa ni mchezo ambao hautabiliki na hii ni kutokana na sababu ya kuwa inapelekea kwenye kutafuta madaraka,kwa wale ambao wanaamini mungu watakubaliana nami kuwa hakuna ufalme wa milele ila kwa mungu pekee,but for the long time i have seen people...
  20. H

    University of Daressalaam you are letting us down

    Ni ukweli usiopingika kuwa hapa tz hakuna chuo kizuri kwa science oriented courses than UD,lakini cha kushangaza hao wasomi tunaowategemea kila siku wako kwenye migomo,ni kweli wanadai haki sawa,lakini sasa inatosha,hiki chuo kimeanzishwa miaka mingi iliyopita,kina maprofessa waliobobea katika...
Back
Top Bottom