Search results

  1. H

    Jumba la Boniface Jacob Ex Mayor wa Ubungo limenipa mzuka sana

    Hiyo roof sasa! Nyumba nzuri ila ukweli ila roof mmh
  2. H

    Ali Kiba hapa kwa Dulla umefeli kabla ujaanza

    Wabongo roho mbaya sana, watu waliofanikiwa wanataka wabaki wao tu kua ndo wamefanikiwa, Acheni roho mbaya
  3. H

    Feisal Salum unajisikiaje kwa sasa?

    Mentality za kimaskini
  4. H

    Feisal Salum unajisikiaje kwa sasa?

    Acha nongwa na u-move on, Kwani hapo Yanga angecheza milele? Hao waliocheza miaka yote Hadi wakastaafu hapo Yanga wamepata Nini kikubwa
  5. H

    Mafanikio kiduchu kelele kama zote, Kwanini watu wa Forex wanavimba sana na kutaka attention hata kwa mafanikio madogo?

    Ni maisha waliyochagua kuishi, kama vile ambavyo vidole vya mkono havilingani na binadamu pia hivo hivo, Waache waishi as long as hawavunji sheria
  6. H

    Hili tangazo la ajira lipo sahihi kweli au mimi ndio sielewi?

    Ni bora hivi , kuliko kuficha ficha kumbe wana wa aina flani wanamtaka
  7. H

    Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    Sasa kama mfadhili ndio anataka kujenga msikiti wewe ni nani umpangie anachotaka kufanya?
  8. H

    Yajuwe yaliyodhaniwa hayawezekani kabla ya Oct 7 Gaza

    Hivi nyie mnaoshabikia vita mnapata fiads Gani?. Sasa hivi Kila sehemu kuna vita inandelea watu wanakufa day in day out badala ya kuangalia namna ya kusuluhisha mpo humu mnashabikia vita kama utani wa jadi wa Simba na Yanga. Acheni haya mambo , you can do better.
  9. H

    Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Mshahara mdogo, hii ni basic knowledge kabisa
  10. H

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Ishu ni kwamba ujenzi unaendelea, mkandarasi haja- handover mradi, maana yake anayoo nafasi ya kurekebisha kabla ya mradi kuisha na hicho ni kitu Cha kawaida kwenye miradi ya ujenzi, Lakini kelele zinazopigwa as if bwawa ndo limeharibika na mradi wote ni hasara, Hii inaonesha uelewa wa watu...
  11. H

    Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Watanzania bana, Walalamishi sana sisi, Mradi haujaisha Wala mtu Hana details za hizo cracks ni za aina Gani , tayari tushaanza kupiga kelele
  12. H

    Car diagnosis device with chatGPT

    Spana lazima , lengo ni kuepusha ufundi wa kuotea otea, fundi anakununulisha spair mpya kumbe ubovu ni kitu kingine kabisa
  13. H

    Car diagnosis device with chatGPT

    Ngoja waje wataalamu tunaweza toka na kitu hapa
  14. H

    Car diagnosis device with chatGPT

    Nawaza, chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard zitakua more eeficient. Kwa sasa hizi devices zinatoa results kwa code, ambazo kama sio mtaalamu...
  15. H

    Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Elimu ya Tanzania sio ya hovyo hata kidogo, Iko poa kabisa, ukimaliza High school Tanzania unaweza kusoma Harvard bila shida yoyote, hii inaonesha elimu yetu Haina tatizo, Kinachokosekana Tanzania ni technology tu.
  16. H

    Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Sijaona lolote la maana hapo yeye kama darasa la 7 hapo, kukwepa Kodi ndo ujanja au, kuwa kigeugeu ndo ujanja au?
  17. H

    Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Elimu iheshimiwe kwa kweli, ndio kitu pekee kitatupa maendeleo, ni mara chache sana kumkuta mtu mwenye good grades akiponda elimu, Sio sahihi kupima umuhimu wa elimu kwa fedha mtu anazomiliki, watu wengine ni majambazi ndo utajiri wao , ELIMU ELIMU ELIMU
  18. H

    Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Hiyo mbona ni kawaida!..shuleni wanapata knowledge kazini wanahitaji skills, Knowledge ya shule inasaidia kumaster skills kwa haraka so sioni tatizo, Hata hao unaona waona Bora hawakumaliza chuo wakajua hapo hapo...wamejifunza kazini.
Back
Top Bottom