Search results

  1. rasta got soul

    Used ipad air2 32gb gold color wi-fi + chip FOR SALE!!

    Screen cracked a little bit but works perfectly. Price 450k tzs fixed check me on 0784994822 located dar kinondoni..
  2. rasta got soul

    Msaada. Kuona contacts zilizokuwa hidden kweny viber

    Salamaaaaaa!! Natumia ipad air2 juzi nikaamua ku hide baadh ya contacts kwenye app ya viber. On the pogress ikanidai nitegenze password na touch id. Nikafanya hivyo sasa tatizo ni kwamba nikitaka kuchat na zile contacts nilizohide inanidai TOUCH ID FOR VIBER. nimekwama msaada kwenye tuta mtu...
  3. rasta got soul

    Je, Ni sawa mwanzo wa mahusiano mwanaume akahamia nyumbani kwa mwanamke?

    Habari gani wadau, Natumaini weekend iko poa na inaishia vizuri na tunajiandaa kwa mchaka mchaka wa wiki nzima. Hebu tupeane mawazo zaidi. Kwenye hili jambo. Maana limekuwa gumzo kwa maisha ya sasa. Lets say umekutana na bi shosti ukamuelewa ukatupiamo mistari akaingia king. Mkaanza...
  4. rasta got soul

    Blogs zimekuwa nyingi hadi walengwa tunachanganyikiwa ufungue ipi

    Sasa hivi kila mtu anataka kufungua blogspot. Kwa takwimu zangu zisizo rasmi kuna zaidi ya blogs 60. Bas fanyeni seriousness maana wengine wanaweka taarifa hawana uhakika nazo. MNATUMISLEAD.
  5. rasta got soul

    Parking system jiji la dar es salaam

    Hivi hawa jamaa ambo wana charge shiling 300 kwa saa huku mjini kwa kigezo cha parking. Wana manufaa gani? Cjui nyinyi wadau. Na endapo ukigoma kualipa inakuwaje?
  6. rasta got soul

    Msaada juu ya biashara ya plate number. (Motor vehicle engraving)

    Habari wadau. Kwa mwenye ujuzi na biashara hii anipe maelekezo inaendeshwaje mtaji wake , n.k. Niko interested na hii biashara lakin sijui chochote kuhusiana nayo.
  7. rasta got soul

    Jinsi ya ku apply online course ya Bussines administration.

    Habari wadau, Mimini kijana mchakarikaji hapa mjini. Katika kutafuta njia ya kuweka maish yangu na familia yangu level flani ambayo hata nikiondoka wasipate taabu. Elimu yangu ni ya kawaida. Nina advance diploma ya IT na diploma ya TAX ( maswala ya kodi). Lakini shughuli zangu zime base...
  8. rasta got soul

    Jinsi ya ku install whatsapp kwenye iPad Air 2

    Niaje wadau nimepata iPad Air 2 ningependa ku install whatsapp messenger kwa anayejua anisaidie mawazo.
  9. rasta got soul

    Naumwa sana kichwa upande wa kulia

    Habari wadau Naomba msaada wa ushauri kwa tatizo hili. Naumwa sana kichwa upande mmoja na huwa hata ninywe dawa gani ya pain killer hakiachi mpaka nilale kwa muda mrefu. Pia jicho la upande huo huwa linatoa machozi. Naweza Kuwa na tatizo gani?
Back
Top Bottom