Search results

  1. DR.POLITICS

    Umewahi kufuatwa kwako na serikali ili ueleze kile kinachokusibu?

    Umewahi kuwaona viongozi wa serikali yako ya mtaa wakija kwenu kukuuliza habari ya maisha au hata kukujulieni hali zenu? Ili muwaeleze yale yanayowasibu! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. DR.POLITICS

    Je Tuition center ipi nzuri kwa kombi ya EGM-PC candidate?

    WanaJF,naomba msaada wenu.Nahitaji kujua wapi hapa Dar kwenye kituo kizuri cha Tuition kwa ajili ya maandalizi ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,Kwa masomo haya :- -Economic -Geography na -Mathematics Kwa PC candidate? Ahsante
  3. DR.POLITICS

    Viwanja vinauzwa kuanzia tsh. 900,000/=

    Wanakijiji wa wilaya ya Mkuranga,Pwani wamepima maeneo yao na kuamua kuuza kwa bei rahisi sana.Viwanja vimepimwa vizuri,vimekatwa barabara za mitaa na vipo eneo zuri,mabomba ya maji yameshapitishwa kwenye barabara kubwa na za Mtaa.Eneo lipo karibu na kigamboni. Ukubwa wa kiwanja ni 20X20...
  4. DR.POLITICS

    Viwanja vinauzwa mfuru-mwambao na Malogolo,Pwani

    Wanakijiji wa wilaya ya Mkuranga,Pwani wamepima maeneo yao na kuamua kuuza kwa bei rahisi sana.Viwanja vimepimwa vizuri,vimekatwa barabara za mitaa na vipo eneo zuri,mabomba ya maji yameshapitishwa kwenye barabara kubwa na za Mtaa.Eneo lipo karibu na kigamboni. Ukubwa wa kiwanja ni 20X20...
  5. DR.POLITICS

    Vigezo na masharti ya kupata kibali cha TBS na TFDA uzalishaji/uuzaji wa chakula

    Habari wadau JF, Nimefikiria kuanzisha mradi wa kusaga, kukoboa na kupack unga na mchele ili niweze kuuza kwa watumiaji wa maeneo yote. Nilitembelea Supermarket moja nikaona namna vifungashio vilivyoandikwa na kujaribu kuongea na wahusika wakaniambia ili niweze kuwapelekea bidhaa yangu ni...
  6. DR.POLITICS

    Je unaweza kusoma degree nyingi za fani tofauti kwa mkopo/bila mkopo nchini Tanzania?

    Habari wadau wa elimu, nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili lakini sikupata jibu lenye ukweli ndani yake. Mfano, mimi nina degree/Masters ya engineering, baada ya kuona upepo mtaani hauko vizuri nikapata wazo la kusoma degree ya Mass communication au degree ya accountancy. Pengine kama...
  7. DR.POLITICS

    DREAM JOBS

    Sasa tumekufikia mtanzania mwenye kipato cha chini ili kukuwezesha kumiliki biashara kwa mtaji mdogo. Shirikiana nasi tutakujuza zaidi.
Back
Top Bottom