Search results

  1. DR.POLITICS

    Umewahi kufuatwa kwako na serikali ili ueleze kile kinachokusibu?

    Umewahi kuwaona viongozi wa serikali yako ya mtaa wakija kwenu kukuuliza habari ya maisha au hata kukujulieni hali zenu? Ili muwaeleze yale yanayowasibu! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. DR.POLITICS

    Je Tuition center ipi nzuri kwa kombi ya EGM-PC candidate?

    Shukran mkuu,je hawa wataalam wanatunga mitihani pia?
  3. DR.POLITICS

    Je Tuition center ipi nzuri kwa kombi ya EGM-PC candidate?

    WanaJF,naomba msaada wenu.Nahitaji kujua wapi hapa Dar kwenye kituo kizuri cha Tuition kwa ajili ya maandalizi ya kufanya mtihani wa kidato cha sita,Kwa masomo haya :- -Economic -Geography na -Mathematics Kwa PC candidate? Ahsante
  4. DR.POLITICS

    Naomba mwenye elimu juu ya 3D animation anisaidie kunijuza

    Kama umemaliza kidato cha nne na una ufaulu wa kuanzia D nne ikijumuisha masomo ya sayansi basi Nenda D.I.T,kuna kozi inaitwa Multimedia and film making.Hiyo ina kila kitu kuhusu uchoraji,picha,video,muziki,matangazo,uchapishaji na graphics.
  5. DR.POLITICS

    Arusha Technical College (ATC) Special Thread

    Je kozi za veta ni miaka mingapi? Je wanaosoma hizo kozi wanavaa uniforms?
  6. DR.POLITICS

    Nimejaa hofu kwa nilichokishuhudia kwa mpenzi wangu

    Hizo herufi hazipatikani kwenye lugha ya kiarabu, huenda katapeliwa na huyo mganga akiamini kuwa ndio amekuroga. Zipo sababu nyingi zinazowapelekea wanawake kufanya hivyo kwa waume zao ambazo ni :- -Mwanamke kutoka familia duni na kukosa fursa ya kutafuta kipato, akimtegemea mwanaume tu kuwa...
  7. DR.POLITICS

    Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Haitetewi ili kuwahamasisha wanafunzi kuendelea kujihusisha na zinaa, Ngono ni mahitajio mojawapo ya mwanadam pindi inapofikia umri wa kushibisha hisia zake. Watafutiwe njia ya kuwawezesha waliozaa waendelee na masomo
  8. DR.POLITICS

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Naomba nisaidie mawasiliano yako mkuu.
  9. DR.POLITICS

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari akipata mimba ni big issue, lakini mwanafunzi huyohuyo akiwa certificate ujauzito kwake sio ishu! Nilitegemea mtu mwenye mtazamo wa kuleta mabadiliko na mapinduzi ya viwanda angetilia mkazo sana suala la elimu, kwa kuwawekea utaratibu mzuri kwa kila...
  10. DR.POLITICS

    Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    MAAJABU YA CHUMVI . weka kikaango jikoni . Tia mafuta ya kupikia vijiko 3 . weka kitunguu saum kijiko 1 . Vunja mayai 8 ya kuku wa kienyeji . weka CHUMVI kidogo sana kwenye mayai na ukoroge . kisha miminia mayai hayo kwenye kikaango cha mafuta ya moto . subiri yai likauke na uligeuze . Yai...
  11. DR.POLITICS

    Lissu: Hoja ya jambo muhimu unaijenga kwenye uongo

    Itakuwa amelemaa na Quadratic equations
  12. DR.POLITICS

    KISUTU: Singh Sethi na Rugemalira wanyimwa dhamana, wapelekwa Keko

    Wasiwasi wangu mwisho wa kesi hii isije ikapelekea kupigwa faini ndogo kuliko pesa walizoiba, yule aliyetakatisha pesa takriban 1 bn, kapigwa faini 200 mil angalia maajabu haya
  13. DR.POLITICS

    Viwanja vinauzwa kuanzia tsh. 900,000/=

    Umbali unafanana kutoka Vikindu hadi mbagala
  14. DR.POLITICS

    Viwanja vinauzwa kuanzia tsh. 900,000/=

    Hivyo vyenye dispute viko mbele sana, ni mbali na hapo
  15. DR.POLITICS

    Viwanja vinauzwa kuanzia tsh. 900,000/=

    Ni km 12 kutoka hapo hadi kilwa road(Vikindu)
  16. DR.POLITICS

    Nafasi 50 za kazi ya muda mfupi

    Mkuu,tuwasiliane nami nahitaji kujishughulisha
  17. DR.POLITICS

    Nafasi 50 za kazi ya muda mfupi

    Je kwa asiye na cheti cha computer lakini anajua kutumia anaweza kupata nafasi?
Back
Top Bottom