Search results

  1. E

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Huwezi Kutambua Siri Za Mja Wako. Kufa Utaona Nini Kitafuata Ila Sio Tena Hapa Duniani.
  2. E

    Nataka kuwa na roho ya ukatili

    Tumefanya Makosa Kuwapeleka Watu Wazima Milembe Kwa Madai Kwamba Ni Machizi Na Mataahira Wakati Machizi Yenye Degree Yapo Humu Ndani. Nakushauri Nenda Katumie Conc.Nucleus Then Utakuwa Mkatili Huko Kwa Wakatili Wenzako Sio Hapa Duniani. Toa Hoja Za Msingi Wewe Kama Vipi Jikatae.
  3. E

    Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Mtoa Hoja Karogwa Tena. Mimi Binafsi Nakupa Polee. Mtoa Hoja Kama Tatu Hazikutoshi Tumia Malaironi Ya Kutosha.
  4. E

    Kwanini condoms zinakaa tatu?

    Toeni Hoja Za Maana Kwani Kama Ni Hivyo Hatujengi Bali Tunabomoa. Tumieni Akili Wadau Wangu.
  5. E

    Kazi Na Uwajibikaji

    Mtazania mdau wa jamii forum ifahamike kwamba tangu mwanzo wa utawala awamu ya tano uanze chini ya usimamizi wa Mh.Dr.John Pombe Maghufuli kwa namna moja au nyingine moto wake unatia moyo. Katika Utendaji Wa Kisiasa Na Kijamii Viongozi Wa Ngazi Mbalimbali Walijisahau Sana Hasa Katika Kutimiza...
  6. E

    Wezi wa simu nguli Jijini London- hebu wacheki kwanza

    Wanajipatia Ridhiki Isiyo Ya Halali Sheria Ichukue Mkondo Wake.
  7. E

    Wanawake mnaombaomba hadi kero ndo maana mnapigwa mimba hovyo

    Kama Katika Enzi Ya Kale Mschana Aliambiwa Kaz Yake Kulea Watoto Unadhan Atapata Wap Ridhiki Yake Kama Sio Kuomba? Weken Mada Za Maana Na Sio Hizi Za Uchonganishi.
  8. E

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Hapana Kila Mtu Ana Hormone Zake Ila Mabadiliko Ya Maumbile Pamoja Na Vitu Vingine Inatoka Na Kuzidi Au Kupungua Kwa Hormone Katika Mwili Wa Binadamu. Hata Wewe Unaweza Kuwa Na Mwonekano Wa Kike Kama Kunakuzi Kwa Hormone Za Testesterone. Soma Kitabu Cha Biology Kidato Cha Tatu Katika Topic Ya...
  9. E

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo Hayataisha Kama Hakuna Suluhisho.
  10. E

    Swagga za Viongozi wetu

    Huna Lolote Na Nyie Ndio Matoto Ya Mafisadi.
  11. E

    Mapenzi ya jinsia moja mkoani Iringa aibu ya jamii na kuenea kwake

    Ni Kweli Kwa Unalolisema Ndugu Ila Kutokana Na Baadhi Ya Watu Kutawaliwa Na Ukoloni Mamboleo Itakuwa Ni Vigumu Kwa Watu Kuamini Serikali Na Hivyo Itawapeleka Katika Kuendelea Kuwaamini Hao Hao Wazungu. Dunia Inahitaji Maombezi Kwani Sodoma Na Gomora Imerudi Tena Na Mwisho Wa Dunia Upo Karibu...
  12. E

    Mapenzi ya jinsia moja mkoani Iringa aibu ya jamii na kuenea kwake

    Kutokana Na Ufinyu Wa Kuelewa Nadhani Hao Mashoga Watajitangaza Tu Lakini Hii Inatokana Na Malezi Waliyoyapata Walipo Kuwa Watoto Pia Ni Saikolojia Imewakaliapembeni Hivyo Saikolojia Itumike Kuwaepusha Hususani Vijana Katika Wimbi Hili La Mapenzi Ya Jinsia Moja.
  13. E

    Mapenzi ya jinsia moja mkoani Iringa aibu ya jamii na kuenea kwake

    Inavyo Onekana Elimu Itolewe Kwa Vijana Kwendana Na Tabia Ambayo Inajitokeza Na Madhara Yake Ni Yapi.
Back
Top Bottom