Search results

  1. H

    TANESCO: Taarifa ya katizo la umeme mkoa wa Kinondoni Kaskazini Juni 23, 2016

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa, kutakuwa na katizo la umeme siku ya ALHAMISI 23 JUNI, 2016 kuanzia Saa 03:00 Asubuhi hadi Saa 10:00 Jioni. SABABU: Kuzimwa kituo cha kupooza umeme cha MASAKI kwa ajili ya kuhamisha njia ya umeme...
  2. H

    Waziri Muhongo apiga marufuku wafanyakazi wa wizara yake kupewa bonus

    Mimi naungana na Mshamba flani kwani sioni tatizo lolote Kwa bonus Kwa mtu ambaye anafanya vizuri Kazini kwani hii inafanyika ili kutoa motisha Kwa fanyakazi na hii pia inasaidia wafanyakazi wengine kufanya kazi Kwa ufanisi zaidi. Kibaya tu ni kutoa Kwa watu wasiyo stahili. Nahapa naona swala...
  3. H

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga tunaomba radhi wateja wote wanaohudumiwa na laini ya Kahama kutokana na kukosekana kwa huduma ya umeme siku ya leo Jumanne tarehe 22 Machi, 2016 kuanzia saa 10:07 jioni hii. Katizo hili ni baada ya nguzo kuanguka eneo la Isaka. Maeneo...
  4. H

    shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga tunaomba radhi wateja wote wanaohudumiwa na laini ya Kahama kutokana na kukosekana kwa huduma ya umeme siku ya leo Jumanne tarehe 22 Machi, 2016 kuanzia saa 10:07 jioni hii. Katizo hili ni baada ya nguzo kuanguka eneo la Isaka. Maeneo...
  5. H

    Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

    Jamani kuilaumu Tanesco ni kuionea Ila kiukweli shirika linajitaidi kumaliza kero zote za umeme na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa sawa na maisha yatendelea. Lakini kwa upande mwingine sisi wananchi ndo tunarudisha maendeleo nyuma kwa kuaribu miundo mbinu mwisho wa siku Umeme ukikatika lawama...
  6. H

    Shirika la umeme (TANESCO)

    KATIZO LA UMEME – ILALA Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linapenda kuwaarifu wateja wake wa Mkoa wa Ilala kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:- TAREHE: 20/03/2016 JUMAPILI MUDA: Saa 03:00 Asubuhi hadi 11:00 jioni. SABABU; KUFANYA MATENGENEZO KWENYE KITUO CHA...
  7. H

    Wizara ya Nishati na Madini

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI Wizara ya Nishati na Madini, inawakaribisha Wadau mbalimbali wa umeme na Wananchi katika uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II unaotarajia kufanyika...
  8. H

    Ni kweli TANESCO hakuna majipu yanayohitaji kutumbuliwa kwa haraka?

    Kweli kabisa hakuna na ndo maana unaona wako vizuri Ila wewe ndo unataka kuposha uma kwaiyo acha kuposha uma waache Tanesco wazidi kuwatikia watanzania. Ningekuona wamaana zaidi kama unge toa ushauri wa kuzidi kubolesha Tanesco kuliko hicho ulichoongea
  9. H

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Kinondoni Kaskazini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa leo asubuhi Machi 2, 2016 kama wateja walivyotangaziwa...
  10. H

    TANESCO: Mgawo wa Umeme kila siku

    Jamani watanzania wenzagu kwanza tuwe tuwe watu wakufatilia mambo ndo tunaongea maana hivi tunavyosema kuwa kuna mgao wa Umeme siyo kweli maana toka juzi kulikuwa kuna matangazo yanatolewa kwenye vyombo vya habari kuwa kuna matengenezo yanaendelea ili kuboresha miundombinu. Sasa sisi tumegeuza...
  11. H

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Temeke

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA TEMEKE Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Temeke kuwa leo asubuhi majira ya saa 12.50 Februari 25, 2016 laini ya kusafirisha umeme ya...
  12. H

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo katika mkoa wa Kinondoni Kaskazini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa leo asubuhi Februari 23, 2016 kutakuwa na matengenezo...
  13. H

    Nakukumbusha Profesa Muhongo, sijui unakumbuka!!

    We kiduni nadhani ww huko humu kuupotosha uma maana nashangaa uko Lindi ipi au mtwara ipi ambayo wana mgao wa Umeme maana ninachofahamu mimi hakuna mgao zaidi ya wezakuwa itlafu ndogo tu na hata hivyo Tanesco wamekuwa wakitoa taarifa kwakila Tatizo linalotokea alafu leo unakuja humu unatoa...
  14. H

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa Umeme kwa baadhi ya maeneo katika mkoa wa mbeya

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MBEYA. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mbeya kuwa line ya Chunya imezimwa leo Februari 13, 2016 saa 3.00 asbh kwa ajili ya kubadili...
  15. H

    TANESCO: Taarifa ya kukosekana kwa Umeme kwa baadhi ya maeneo katika mkoa wa mbeya

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MBEYA. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mbeya kuwa line ya Chunya imezimwa leo Februari 13, 2016 saa 3.00 asbh kwa ajili ya kubadili...
  16. H

    Tatizo la umeme: Jipu ni TANESCO au Wizara ya Nishati na Madini?

    Uanapesa watendaji wa Tanesco ni wakulaumiwa kwa kuto tunza miundo binu ya Tanesco na wakati sisi wananchi ndo wakwanza kwa kuaribu miundo mbinu kwa kuiba mafuta kukata nyaya bamoja na kujiunganishia Umeme kiholela
  17. H

    Taarifa ya kukuosekana Umeme kwa baadhi ya maeneo katika mkoa wa kinondoni kaskazini

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA KINONDONI KASKAZINI. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini kuwa line ya Packers imezimwa saa 3 asubuhi hii leo...
  18. H

    Taarifa ya TANESCO: Katizo la umeme kwa baadhi ya mikoa iliyoungwa na gridi ya taifa 14February 2016

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA FEBRUARI 14, 2016 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa mikoa ya Singida, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Musoma, Mara, Babati, Simiyu, Dodoma na baadhi ya...
  19. H

    Maelezo kuhusu mradi Wa Umeme Mbopo Tegeta Dar es Salaam

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) MAELEZO KUHUSU MRADI WA UMEME MBOPO TEGETA DAR ES SALAAM Februari 2, 2016 kwenye blogi ya Michuzi kuna mteja wetu kutoka Wilaya ya Kitanesco Tegeta alilamikia Shirika kuchelewesha Mradi wa kupeleka umeme eneo la Mbopo. UKWELI NI KWAMBA: Mradi wa kupeleka...
  20. H

    Taarifa ya kukosekana kwa Umeme kwa baadhi ya mikoa iliyoungwa kwenye gridi ya taifa 31/1/2016

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MIKOA ILIYOUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA JANUARI 31, 2016 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa mikoa ya Singida, Shinyanga, Tabora, Mwanza, Musoma, Mara, Babati, Simiyu na baadhi ya maeneo ya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro...
Back
Top Bottom