Search results

  1. F

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Trebox nafanya mwasiliano na ofisi husika ntakujibu, pia unaweza kutumia number hiyo hapo juu for quick assistance
  2. F

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Natumaini hilo tumeshaliongelea kesho litafanyiwa kazi limalizike
  3. F

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Jana ilikuwa ni emergence na tumeomba radhi leo asubuhi kupitia Clouds FM na Upendo Radio njia ya umeme mkubwa ilikatika pale karume hivyo maeneo yote uliyoyataja ni kweli hayakuwa na umeme mpaka saa saba! So matukio kama hayo ambayo hayajapangwa ni vigumu kutoa taarifa mapema ndio maana...
  4. F

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Mkuu labda useme ni maeneo gani ambayo hayana umeme kwa wiki nzima? Kumekuwa na interuptions kadhaa kutokana na matengenezo ya kiufundi ambayo tumewapa taarifa ila hakuna sehemu ambayo imefululiza wiki nzima! Na pia huduma mbaya kwa upande labda ili niweze kukusaidia zaidi
  5. F

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Kuhusu kukatika kwa umeme tumekuwa tukitoa taarifa mapema na kwa yale makatizo yanayopangwa na yale ya dharula kutokana na hitilafu tumekuwa tukiwapa taarifa ya kuomba radhi kwa kupitia televisheni, magazeti na redio na hata kwa kutumia gari la matangazo. Tafadhali kama ukikosa huduma...
  6. F

    Prof. Muhongo TANESCO Ilala kuna jipu

    Tafadhali mkuu kama kuna muhudumu kwa wateja ambaye hajakujibu vizuri au kakufokea naomba utaje jina lake na ni kituo kipi cha emergency ambacho umepiga simu, na pia kama kuna malalamiko zaidi kuhusu ilala kuhusu huduma mbaya au kutosikilizwa kwa namba uliyoitaja basi tafadhali piga 0653062220...
  7. F

    Taarifa ya kukosekana kwa umeme mkoani Dodoma

    SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME MKOANI DODOMA. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatangazia wateja wake wa Mkoa wa Dodoma kuwa kumetokea hitilafu katika Transfoma kubwa inayosambaza Umeme katika mkoa huo na kupelekea Dodoma mjini na baadhi ya...
  8. F

    Hongera TANESCO kwa mabadiliko

    Binafsi napenda kusema ukweli kwamba kwa mtu asiyejua nini kinafanyika pale TANESCO anaweza akaongea maneno mabaya apendavyo, ila laiti angejua ninkiasi gani watu wanajitahidi kuhakikisha umeme unapatikana ikiwa ni pamoja na kufanya kazi usiku kucha ili tu umeme uwake wasingebaki kulaumu tu...
  9. F

    Taarifa ya kukosekana kwa umeme maeneo ya Kansay, Endamarariek na mahahaha mkoani Arusha

    Jitahidini muendelee kutupa taarifa mara kwa mara! Hii itasaidia sisi kujipanga!
Back
Top Bottom