Search results

  1. I

    Mh. Waziri Mwijage liangalie hili

    Kiwanda cha Viroba kimefunguliwa Nshamba Muleba. Haya ni maendeleo au mwisho wa vijana wetu. Jamani Mhe Rais Magufuli tuokoe. Piga marufuku viroba vyote bila kujalisha kama vinatoka ndani au nje ya nchi. Penye viroba hapana kazi yoyote itafanyika. Waziri Mwijage fuatilia. Viwanda vyote vya...
  2. I

    Waziri wa Viwanda na Biashara, fuatilia kiwanda cha kutengeneza viroba Nshamba Muleba

    Kiwanda cha Viroba kimefunguliwa Nshamba Muleba. Haya ni maendeleo au mwisho wa vijana wetu? Jamani Rais Magufuli tuokoe, piga marufuku viroba vyote bila kujalisha kama vinatoka ndani au nje ya nchi. Penye viroba hapana kazi yoyote itafanyika. Waziri Mwijage fuatilia viwanda vyote vya viroba...
  3. I

    Kufunga mageti ya ofisi saa moja na nusu kwa miundombinu hii!

    Wadau, Nimeliangalia hili swala la waheshimiwa kufunga mageti ya ofisi saa moja na nusu wakati miundombinu yetu ni ya kutumia masaa manne kwa mwendo wa km 1! Kwa maoni yangu naona si sahihi kabisa! Kikubwa si umefika ofisini saa ngapi bali kikubwa ni kuangalia mtu kafanya kazi masaaa mangapi...
  4. I

    Elimu bure kwa baadhi ya wazazi

    Monday, December 14, 2015( Source" MPEKUZI") Serikali Imetoa Waraka wa ElimuBure......Shule 11 za Serikali Hazitahusika na Utoaji wa Elimu Bure (HIZI SHULE 11 AMBAZO WAZAZI HAWAJAHURUMIWA NI KWA NINI?? NA JE MWANANGU KUTOKA HUKU KWETU KIJIJINI ANAWEZA KUJA KUSOMEA HAPO??!!! NI MAWAZO...
Back
Top Bottom