Search results

  1. N

    Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

    Utaje sifa zote km walianzia kwenye misssion town, km walisha kuwa wezi, km walisha kwepa kodi nk nk nk. Pia uache ushamba mtoa mada , duniani kote kila mkoa una wenye nacho na wasiokuwa nacho hata kabla ya Yesu.
  2. N

    Kwa aibu hii ya mara ya pili, wahusika mbadilishieni Rais mpambe wake

    Naona mwanzisha mada analeta ajenda zake binafsi , anataka jf isaidie kumchafu mpambe wa rais, Mpambe wa rais anafaa kabisa na amedhibitishwa na walio mchagua.
  3. N

    Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    Nauliza wakala wa iPhone hapa dar , yupo wapi???
  4. N

    Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Phd alisoma na kufanya mtihani kwa kiingereza hivyo ,anaju
  5. N

    Kanda ya Ziwa yaongoza kwa Utoaji mimba

    Mahitaji makubwa ya ngono maanake nini??? Au watu wa kanda ya ziwa wa hisia za ngono kuliko sehemu nyingine Mtafiti angesema kanda ya ziwa ina idadi kubwa ya watu ningemwelewa.
  6. N

    Kwa mwendo huu, wanawake watakuwa mpira wa kona

    Baada ya mdada kumosa aliyemtaka anakukubalia, never be a last option, siku akimpata anaemtaka imekula kwako, chapa uondoka.
  7. N

    Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

    Asilimia 98% wanafunga ndoa wakiwa wamesha fanya tendo la ndoa 1% wanafunga ndoa hawaja fanya na zinadumu hizo ndoa. 1% wanafunga ndoa hawaja fanya na zinavunjika kabla kabisa kabisa kabla ya miaka mitano.
  8. N

    Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Kwa kiwango cha masters na phd hapa Tanzania ukiona anasota jua anamatatizo, atakuwa kilaza tuu
  9. N

    Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

    1.ktk nchi yetu tanzania waislam ni km 44% hawafiki 65% km wanavyo amini 2. Wasiokuwa na dini pia ni wengi ila hawa lalamiki hata siku moja. 3. Usitumie dini kuficha mipango ya kiovu ili waamini washawishike wa chukie viongozi na serikali . 4. Acha kukaa kijiweni na kwenye bao unahesabu...
  10. N

    TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

    Labda wakristo nduo wenye hizo sifa za kuajiriwa, sasa una taka muislamu aliye soma madrasa akafue umeme wapi na wapi.
  11. N

    Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    Nenda pharmacy , maslahi mapana. Haichoshi sana,
  12. N

    Je, Uislam ni kosa la jinai Tanzania?

    Usifiche ajenda zako za kiovu kwenye dini ,
  13. N

    Kiongozi wa majambazi wanaovamia mabenki ni huyu?

    Tatizo la watu ni kuhukumu haraka haraka, ni mtuhumiwa anaweza awe ameshiriki au hakushiriki 50/50.
  14. N

    Hakuna mwanamke mzuri aliyesoma sana

    Mleta mada upeo wako mdogo sana, wapo wazuri na wana phd, na ukizungumza nae utagundua hiyo phd ni halali yake, inategemea na malezi aliyokulia, nahajisikii kuwa ni wazuri,
  15. N

    Kwanini wasomi wetu na wanasiasa wanapenda title za elimu yao?

    Pia msisahau proffessor maji mafupi
  16. N

    Hivi hili ni pepo la ngono au ni hali ya kawaida?

    Vijisenti vya dili vinakunya ujione kidume . Kirusi kipo.
  17. N

    Boresha na rudisha nguvu za kiume ndani ya ndoa yako urudise furaha ya ndoa!

    Kuweni makini wana nunua viagra duka la madawa wana ponda ponda wanachanganya na unga wa mtama, wana pack kwa dose kubwa, wana dai dawa ya asili mpya.
  18. N

    Hivi kuna ulazima wa kumpokonya vitu mpenzi wako wa zamani?

    Wengi mnadai ni malipo ya huduma mliyotoa , kumbe mnauza kitu Mungu alitoa bure, km ulimnunulia kitanda ukakuta mwanamme mwenzio anaki tumia ??????
Back
Top Bottom