Search results

  1. H

    Nahitaji display (kioo) cha Galaxy S 5

    wandugu kama nilijieleza kwa aliye nacho na kiasi cha bei tafadhali tuwasiliane kwa namba 0756494249. ili aniuzie. asante.
  2. H

    Nahitaji Copier Machine

    nahitaji copier machine aina ya canon ir 3300 au ir 2800 au gp 405
  3. H

    from not secured to loan alocation!

    amini usiamini mwanzo ckupata mkopo.nimelogin uck huu mambo shwari.
  4. H

    frequeny za tbc

    nasikia tbc chanel imerudi hewani. Mwenye frequency anisaidie
  5. H

    Kesho tar 30 ndo judgement day ya tcu

    B aada ya kuona mambo hayaeleweki nimepiga cm tcu wamenambia kesho halizami
  6. H

    water resources & irigation engineering vs agricultural engineering

    wakuu kati ya kozi hizo mbili ipi ina soko zuri la ajira?
  7. H

    water resources & irigation engineering vs agricultural engineering

    wakuu. Msaada kati ya hizo kozi mbili ipi unadhani ina soko kuizidi nyingine? Nashukuru kwa msaada wenu
  8. H

    Hamna cha kupoteza ila minyororo yenu!

    kwamba wafanyakaz mkiungana hamtapoteza chochote isipokuwa minyororo yenu!maneno haya yalitamkwa na hayati baba wa taifa siku ya mei mosi 1995 kule Mbeya. Tafakarini then chukueni hatua!
  9. H

    Printer laserjet 1018 haitoi maandishi.

    nimenunua cartitage zaid ya mbili bado inatoa plain. Mwenye ujuzi anisa.die tatizo nini?
  10. H

    Nahisi hili litatokea

    Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.
  11. H

    You have reached your call limit

    Au ni mie tu? Maana cm ina salio la sh. .122. Unapiga inakuambia ivo.!mtandao ni voda.
  12. H

    Msaada FINANCE SOLUTION PROGRAM

    Wakuu naomba mwenye finance solution program na Ms sql number zake anisaidie
  13. H

    Msaada nawaombeni wakubwa

    wakuu naomba mwenye program ya FINANCE SOLUTION na key zake au hata maelekezo ya namna ya kuipata.
  14. H

    Tuwakimbie vodacom

    jamani ni tangu asubuhi M.Pesa haipatikani! Nko ugenini nina vicent vyangu kwenye m.pesa kila nkijarib kutoa inashindikana! Hii mijitu ikoje!
  15. H

    Jamani ya Loliondo yanatisha!

    TBC jana imeonesha maiti zikiwa zimezagaa ovyo na nyingine vichakani! Foleni yenye urefu wa 50Km. Wastan wa w2 7 hufa kila siku
Back
Top Bottom