Search results

  1. L

    Njia Nne ambazo Droni Zinaweza Kusaidia Maisha Sana

    Droni, au ndege ndogo zisizokuwa na rubani zimekuwapo kwa muda mrefu sasa na pengine wengi wameziona zikifanya kazi hasa katika masuala ya vita – kwa mfano vita dhidi ya majangili hapa Tanzania. Ukweli ni kwamba ni watu wachache tu wa kawaida wanaweza kuwa na taswira ya jinsi gani hivi vifaa...
  2. L

    kusoma sana na kukonda(kupungua mwili) ama kusikia njaa..

    KaMa kichwa cha habar hapo juu nakumbka nikiwa shule nlishuhudia watu wanapiga msuli mrfu wengi hupungua mwili kukonda japo kula wanakula vilevile kusikia njaa baada ya kupiga msuli...Hii hali inatokana na nini
  3. L

    Paka maarufu na anayekimbiza kwa followers instagram

    Dunia hii haishi maajabu paka kwa jina la Manny anayepiga selfie muda mwingine akiwa katika pozi la peke yake au na wanyama wengine. Paka huyo wa mji wa Arizona ameweza kujizolea umaarufu mkumbwa kwenye mitandao wa kijamii kwa kuwa na page yake instagram @yoremahm) kwa sasa ana zaid ya130,000...
  4. L

    Maajabu huko China...

    China inatarajiwa hivi karibun kukumbwa na hali ya baridi kali katika kipindi hiki cha masika licha ya hayo yote kumetokea vitu vya kuastaajabisha kutokana na watu mbalimbali nchini humo kufanya michezo ya hatari kwenye barafu iliyoganda Mwanamke akiogolea kwenye mto Songhuajiang ulioganda kwa...
  5. L

    Uongo mwingine bwana

    'Baby I swear sikudanganyi, wewe ni Mwanaume wangu wa Pili, nimekaa muda mrefu sana baada ya kuachana na EX wangu wa kwanza, yaani nilimpenda (anazuga kulia na kamasi kidogo), maana aliniumiza sana sana kwakweli hadi nililazwa KCMC wiki 2, mpaka nikahisi roho inataka kuchomoka.. Yaani ungewahi...
  6. L

    Ulimwengu wa future ukoje?

    Habari zenu wakuu, Kuna kitu kinaitwa future ningepende kufahamu ni ulimwengu wa namna gani? na unakadiriwa kutokea baada ya miaka gani ijayo? na ikitokea hakutakua na future nyingine tena? Vitu gani na maisha gani ambayo watu wa kipindi hicho watakuwa wanaishi? nini madhara na faida yake? na...
  7. L

    Nihitaji majibu

    kila DEMU ukimtongoza anakuambia YUPO INRELATIONSHIP.. afu kila BOY ukimuuliza anakuambia yupo SINGLE. sasa hao mademu wapo inrelationship na nani?? C elewi....������
  8. L

    Hivi hizi n tetesi ama kweli

    hivi ichi kitu ni kweli? A:75_100%,B:65_74%,C:55_64%,D:45_54%,E:35_44%,S:25_34%,F:0_24%.
  9. L

    Ushawahi fikiria hili na wewe?

    Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio atakuwa Rubani wa Ndoa,...Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwenye Ndoa ukawa Kuruta��.....Mwanasheria anaweza kusimama kwenye Chamber kwa ustadi lakini kusimama ndani ya ndoa ni zaidi ya Extended Jurisdiction! Hizi ni ndoto tu! Na...
  10. L

    Wanawake wanamambo mengi hebu ona

    MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi 12. Fundi umeme 13. Fundi bomba 14. Mchungaji 15. Mzee wa kanisa 16...
Back
Top Bottom