Search results

  1. henry frank

    India yapanga kuyapiga Marufuku makampuni ya Simu ya China yanayouza simu za bei nafuu nchini humo

    Wanaonaga simu nyingine kama matoy ya watoto kucheza game
  2. henry frank

    Nani kumrithi Ramaphosa?

    V.P wa sasa
  3. henry frank

    Uzalendo ni nini?

    Kwa tafsiri ya ccm uzalendo ni kukipenda chama cha mapinduzi na serikali yake na raisi wake na mwenyekiti wao hata akikosea we msifie
  4. henry frank

    Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Mbona hizo nyumba wanazoishi haziendani na maendeleo
  5. henry frank

    Ndege ya Tanzania yakamatwa nje, Taifa ladaiwa bilioni 380 kwa kuvunja mkataba bila utaratibu

    Halafu bogus wamempa phd ya kufunya mali za wanyonge.
  6. henry frank

    Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Kaongea point kabisa. viongozi badala ya kutatua matatizo naye analalamika kama mwananchi wa kawaida. That is stupid
  7. henry frank

    Nchi za kikristu zina nini kwani

    Ukristo upo kwenye kitabu. Kama kuna mstari wowote kwenye biblia unaruhusu ushoga nitakuwa wa kwanza kuhama. Suala la mapadri kuwa mashoga haiusiani na ukristo hiyo dhambi watabeba hao mapadri na ushoga wao.
  8. henry frank

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Mtanzania wa magomeni anavaa kanzu anajiona kavaa vazi la kiislamu kumbe kavaa vazi la kiarabu.
  9. henry frank

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sasa zelesky ye hakuanzisha vita alichokozwa yeye sasa angefanya jee.
  10. henry frank

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ikitokea vita ya dunia itakuwa Nato vs Russia mchina hatosubutu kuingia vitani direct labda amsaidie urusi silaa. Na Russia itakuwa majivu.
  11. henry frank

    Kauli hatari za ubaguzi Star Tv leo asubuhi

    Wasipoangalia Tanzania itagawanyika vipande vipande,
  12. henry frank

    Tafakuri Jadidi: Nani Anamwelewa Magufuli?

    Hatuendelei kwa sababu ya watu wenye akili finyu za kupambanua hoja kama zako
  13. henry frank

    Dangote aishitaki serikali kuokoa Ajira za watanzania

    Na Kenya ni tsh ngapi?
  14. henry frank

    Biashara ya majeneza nayo pia imeanguka

    Kuna Quran ya kiswahili au kiingereza nianze kuisoma
  15. henry frank

    Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    Nani kukuambia sijajenga hata choo, au unaota
  16. henry frank

    Kiwanda cha Dangote kusitisha uzalishaji: Aibu kwa serikali yenye nia ya kuendeleza viwanda

    Kwani akina twiga cement, simba cement, rhino na nyati huwa wanatoa wapi
Back
Top Bottom