Search results

  1. osieee

    CHADEMA kususia chaguzi ndogo ni kuwanyima haki wananchi na wanachama hai wa CHADEMA

    hapana hawajashiriki kabisa na wananchi tumeumia sana Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
  2. osieee

    CHADEMA kususia chaguzi ndogo ni kuwanyima haki wananchi na wanachama hai wa CHADEMA

    Wasaalam, jana kulikua kuna zoezi la chaguzi ndogo za madiwani katika kata mbalimbali zenye uhitaji huo wa kikatiba kwa wakati huu. Lakini Chadema kususia chaguzi hizi madhara yake yamekua yakionekana waziwazi kwan ,kampeni hazivutii hata kidogo tena na hata idadi ya watu wanaojitokeza kupiga...
  3. osieee

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo bumbuli Tanga Nije sehemu yeyote ndani ya mkoa wa Mara ,halmashauri yeyote
  4. osieee

    Naomba ushauri kutokana na changamoto ninazopitia ofisini ninapofanyia kazi

    Tongoza demu mbovu kuliko wote hapo ,huyo ndo atakupa kampani mpaka uzoee magumashi ya ofisi za kiafrika
  5. osieee

    Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

    wanataka wapate pesa za kujengea daraja la kutoka dar to zanzibar
  6. osieee

    Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

    muulizeni huyo aliokataa kuweka hicho kipengele mpo wengi wangapi na mikoa ipi
  7. osieee

    Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

    kumbe JPM alishinda kwa asilimia ngap 2015 ? ,jakaya maovyo ovyoyake ndo yalimpatia shida 2010 not otherwise
  8. osieee

    Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

    mbona kikwete kafanya uwekezaji na hakushambuliwa na hao viongoz wa RC
  9. osieee

    Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

    Habari za mida hii, nina imani nyote ni wazima kabisa. "ASIYEKUBALI UPINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE Moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu. 1. Uwekezaji umechukua sura ya udini, walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya...
  10. osieee

    ushauri kwa jf na wadau wengine

    nashauri nyuzi (thread) zijipange kwenye jukwaa husika kulingana na mda iliopostiwa yani (time setting) ,nikimaanisha tusiangalie utaratibu wa watu kujihusisha kwa idadi kubwa.kwani kuna nyuzi zinapostiwa zinakosa mivuto kwa watu wengi kwa kua tu sio za kinafiki na kimbea na zinakua na logic...
  11. osieee

    Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    kwel wazanaki ni shida na ndio maaana mliotesha nyama , you need to grow up home boy
  12. osieee

    Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

    waluri Wakwaya wasweta wakiroba wakabwa e.t.c
  13. osieee

    Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

    kuna kabila 29, ndio mkoa wenye makabila mengi Tz
  14. osieee

    Huyu ndugu yangu wa damu ananitia aibu sana kwa ulevi uliokithiri

    dawa ipo ila unaelekezwa unamtengenezea ww mwenyewe na inachanganywa n pombe
  15. osieee

    Methali za kabila la wajita

    tangata unyake
  16. osieee

    Wakulima na Wafugaji Stadi Waunganishwa na Barabara Kuu Musoma Vijijini

    mbunge ameshindwa kuitoa lami buhare hata kuifikisha mkirira miaka yote hiyo
  17. osieee

    Kumekucha Msimbazi mashabiki wataka MO awaachie timu yao

    HATUMTAKI HUYO MWAMED
  18. osieee

    Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

    tukio kama hilihili lilitokeaga mkoa wa Tanga ,wazazi pia walikua wakiwahi mahafali ya mtoto wao
Back
Top Bottom