Image copyright Tina Knowles. Instagram Image caption
Beyonce na wacheza densi wake waliovalia kama wanachama wa Black Panther
Waandamanaji watatu walijitokeza katika mkutano wa kumpinga nyota wa muziki Beyonce nje ya uwanja wa soka ya Marekani mjini New York.
Maandamano hayo yaliitishwa baada...
Image caption Kanye West
Albamu mpya ya mwanamuziki Kanye West imepakuliwa kutoka mtandaoni zaidi ya mara 500,000 kulingana na kampuni ya kupakua kanda za video na sauti Torrent Freak.
Msanii huyo alitoa albamu hiyo ya Life of pablo kutoka kwa huduma ya mtiririko wa muziki wa Jay-Z Tidal siku...
Image copyright AP
Katika Uwanja wa El Molinon Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufikia bao la 300 katika La Liga pale ambapo amepachika mabao mawili dhidi ya Sporting Gijon. Katika mechi hiyo ambayo Sporting wameambulia goli moja, Luis Suarez naye amepiga bao lakini pia akakosa penati...
Christian Ronaldo ni kama amewajibu kwa vitendo wanahabari wale ambao jumanne alikataa kuendelea kuongea nao pale alipoulizwa kuhusu ukame wa magoli ya ugenini.
Goli lake la 33 la Musimu limeisaidia Real Madrid kusogelea robo fainali ya Champions Ligi. Kikosi kilichoko chini ya Zinedine Zidane...
07:45 Upigaji kura katika maeneo mengi umeanza, ingawa kwa kuchelewa. Hapa ni Kalangala watu wakipiga kura.
07:44 Kuna ripoti kwamba baadhi ya watu wanaotumia simu kuingia mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook wanatatizika. Lakini WhatsApp inafanya kazi.
07:30 Upigaji kura ulifaa kuanza...
Kampuni ya utengenezaji vifaa vya michezo ya Nike, imesitisha mkataba na uhusiano na mwanamasumbwi Manny Pacquiao baada ya bondia huyo wa uzito wa juu dunia baada ya kuwafananisha wapenzi wa jinsi moja kama wasio na thamani zaidi ya wanyama.
Bingwa huyo wa masumbwi ulimwenguni mwenye umri wa...
Image caption Ndege ya kampuni ya Daalo nchini Somalia ilioshambuliwa
Mwalimu mmoja wa shule ya Madrasa, ametamabuliwa kuwa mshukiwa aliyetekeleza shambulio la bomu ambalo lilisababisha shimo kubwa katika tanki ya mafuta ya ndege moja ya abiria nchini Somalia, iliyokuwa ikielekea nchini...
Image caption Muuaji wa San Bernadinho Syed Farook
Jaji mmoja katika jimbo la Carlifonia nchini Marekani ameiamrisha kampuni kubwa ya Teknolojia ya Apple kusaidia polisi katika kuchunguza simu ya mwanamume ambaye aliwapiga risasi watu 14 katika eneo la San Bernardino mwezi Disemba.
Syed Rizwan...
Pikipiki hutegemewa sana kwa uchukuzi Burundi.
Burundi imepiga marufuku pikipiki kuingia katikati mwa mji mkuu Bujumbura katika juhudi za kujaribu kupunguza mashambulio.
Pikipiki hutumiwa sana kusafirisha watu na mizigo Bujumbura lakini sasa zimekuwa zikitumiwa kutekeleza mashambulio, meya wa...
Image copyright AFP
Image caption Bw Obama amekuwa akikutana na viongozi wa nchi za kusini mashariki mwa Asia
Rais Barack Obama amesema anaamini mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani.
Amesema kazi hiyo ni “kazi kubwa”.
"Ninaendelea kuamini kwamba Bw...
Image copyright Reuters
Image caption Kanye West alisema majuzi kwamba anadaiwa $53m
Mwanamuziki Kanye West amemuomba hadharani mwaanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ampe usaidizi wa kifedha.
West anataka Zuckerberg awekeze $1bn (£700m) katika miradi yake akisema yeye binafsi hana...
Image caption Huduma ya wi-fi si ya kutegemewa sana White House
Rais wa Marekani Barack Obama amelalamika kuhusu huduma ya wi-fi katika ikulu ya White House alipokuwa akihojiwa kwenye runinga.
“Kuna maeneo mengi sana hayana wi-fi,” Rais Obama amefichua akihojiwa kabla ya mchuano wa Super Bowl...
Image caption Mbunge Joseph Chinotimba Zimbabwe
Mbunge mmoja nchini Zimbabwe Joseph Chinotimba ameingia katika kumbukumbu za Afrika baada ya kumbusu mke wake Vimbai kwa muda mrefu zaidi kuwahi kunakiliwa barani Afrika.
Mbunge huyo na mkewe walizoa tuzo hilo baada ya kupigana busu kwa dakika 10...
Mshirikishe mwenzako
Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 15 Februari, 2016.
Nambari Klabu Mechi Mabao Alama
1 Leicester 26 19 53
2 Tottenham 26 27 51
3 Arsenal 26 18 51
4 Man City 26 20 47
5 Man Utd 26 9 41
6 Southampton 26 10 40
7 West Ham 26 9 40
8 Liverpool 26 2 38
9 Watford 26 1 36...
Image caption Onyo: Ukivunja ahadi ya ndoa ni ubakaji India
Polisi nchini India wamemkamata mwanamume mmoja raia wa Scotland kwa madai ya ubakaji baada ya kuvunja ahadi ya ndoa na mwanamke aliyeshiriki ngono naye.
Mtu huyo alituhumiwa kwa kosa hilo baada ya aliyekuwa mpenziwe kumshataki kuwa...
Image copyright
Image caption Kanye West ametoa albamu mpya
Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake.
Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa kirefu herufi TLOP zinasimamia nini kwenye jina la albamu ya...
Image copyright AP
Image caption Tausi
Jimbo moja nchini India limependekeza kumuorodhesha tausi miongoni mwa ndege waharibifu ,kulingana na vyombo vya habari.
Waziri wa kilimo katika eneo la Goa Ramesh Tawadkar amesema kuwa tausi wanaharibu mimea na huenda wakakatwa midomo.
Tumbili,Ngiri pia...
Image copyright PA
Image caption Mourinho na Van Gaal katika mkutano wa hapo awali.
Mkufunzi wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa atakata tamaa iwapo Manchester United ilifanya mazungumzo na Jose Mourinho.
United haikutoa tamko lolote baada ya ripoti hizo za juma lililopita kwamba...
Image caption Jehovahs Witness latuhumiwa kuharibu ushahidi
Aliyekuwa mzee wa kanisa la Jehovahs Witness nchini Uingereza ameelezea wasiwasi wake kuwa kanisa hilo limeharibu stakabadhi muhimu katika uchunguzi unaoendelea kuhusu dhulma za kingono kwa watoto nchini uingereza.
John Viney, ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.