Search results

  1. P

    Uchaguzi mkuu Uganda

    Upigaji kura wachelewa maeneo mengi Uganda(updated news) Upigaji kura wachelewa maeneo mengi Uganda Image caption Upigaji kura unafaa kuanza saa moja asubuhi kwa mujibu wa sheria Wapiga kura nchini Uganda wanaendelea kupiga kura vituoni kuwachagua viongozi, ingawa katika baadhi ya vituo...
  2. P

    Ajabu ya mwanamke kushika mimba jela Vietnam

    Image copyright Thinkstock Image caption Inadaiwa mwanamke huyo alilipa $2,300 Askari jela wanne nchini Vietnam wamesimamishwa kazi kwa kosa la kuzembea kazini baada ya mfungwa wa kike aliyehukumiwa kunyongwa kushika mimba. Wachunguzi wanasema Nguyen Thi Hue, 42, alijitungisha mimba kwa...
  3. P

    Watu 3 wajitokeza kumpinga Beyonce

    Image copyright Tina Knowles. Instagram Image caption Beyonce na wacheza densi wake waliovalia kama wanachama wa Black Panther Waandamanaji watatu walijitokeza katika mkutano wa kumpinga nyota wa muziki Beyonce nje ya uwanja wa soka ya Marekani mjini New York. Maandamano hayo yaliitishwa baada...
  4. P

    Albamu ya Kanye west yapakuliwa mara 500,000

    Image caption Kanye West Albamu mpya ya mwanamuziki Kanye West imepakuliwa kutoka mtandaoni zaidi ya mara 500,000 kulingana na kampuni ya kupakua kanda za video na sauti Torrent Freak. Msanii huyo alitoa albamu hiyo ya Life of pablo kutoka kwa huduma ya mtiririko wa muziki wa Jay-Z Tidal siku...
  5. P

    Lionel Messi afunga bao la 300

    Image copyright AP Katika Uwanja wa El Molinon Lionel Messi amekuwa mchezaji wa kwanza kufikia bao la 300 katika La Liga pale ambapo amepachika mabao mawili dhidi ya Sporting Gijon. Katika mechi hiyo ambayo Sporting wameambulia goli moja, Luis Suarez naye amepiga bao lakini pia akakosa penati...
  6. P

    Ronaldo awajibu waandishi kwa vitendo

    Christian Ronaldo ni kama amewajibu kwa vitendo wanahabari wale ambao jumanne alikataa kuendelea kuongea nao pale alipoulizwa kuhusu ukame wa magoli ya ugenini. Goli lake la 33 la Musimu limeisaidia Real Madrid kusogelea robo fainali ya Champions Ligi. Kikosi kilichoko chini ya Zinedine Zidane...
  7. P

    Uchaguzi mkuu Uganda

    07:45 Upigaji kura katika maeneo mengi umeanza, ingawa kwa kuchelewa. Hapa ni Kalangala watu wakipiga kura. 07:44 Kuna ripoti kwamba baadhi ya watu wanaotumia simu kuingia mitandao ya kijamii ya Twitter na Facebook wanatatizika. Lakini WhatsApp inafanya kazi. 07:30 Upigaji kura ulifaa kuanza...
  8. P

    Nike yasitisha mkataba na Manny Pacquiao

    Kampuni ya utengenezaji vifaa vya michezo ya Nike, imesitisha mkataba na uhusiano na mwanamasumbwi Manny Pacquiao baada ya bondia huyo wa uzito wa juu dunia baada ya kuwafananisha wapenzi wa jinsi moja kama wasio na thamani zaidi ya wanyama. Bingwa huyo wa masumbwi ulimwenguni mwenye umri wa...
  9. P

    Mlipuaji wa ndege Somalia ni ''mwalimu''

    Image caption Ndege ya kampuni ya Daalo nchini Somalia ilioshambuliwa Mwalimu mmoja wa shule ya Madrasa, ametamabuliwa kuwa mshukiwa aliyetekeleza shambulio la bomu ambalo lilisababisha shimo kubwa katika tanki ya mafuta ya ndege moja ya abiria nchini Somalia, iliyokuwa ikielekea nchini...
  10. P

    Apple yaamrishwa kuifungua simu ya muuaji

    (news update)Apple yapinga amri ya kuifungua simu ya muuaji Image copyright Getty Image caption Mkurugenzi mkuu wa Apple Tim Cook Apple itapinga amri ya mahakama ya kuwasaidia wachunguzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani FBI kuchukua habari katika simu ya muuaji wa watu 14 katika eneo la...
  11. P

    Apple yaamrishwa kuifungua simu ya muuaji

    Image caption Muuaji wa San Bernadinho Syed Farook Jaji mmoja katika jimbo la Carlifonia nchini Marekani ameiamrisha kampuni kubwa ya Teknolojia ya Apple kusaidia polisi katika kuchunguza simu ya mwanamume ambaye aliwapiga risasi watu 14 katika eneo la San Bernardino mwezi Disemba. Syed Rizwan...
  12. P

    Pikipiki zapigwa marufuku Bujumbura

    Pikipiki hutegemewa sana kwa uchukuzi Burundi. Burundi imepiga marufuku pikipiki kuingia katikati mwa mji mkuu Bujumbura katika juhudi za kujaribu kupunguza mashambulio. Pikipiki hutumiwa sana kusafirisha watu na mizigo Bujumbura lakini sasa zimekuwa zikitumiwa kutekeleza mashambulio, meya wa...
  13. P

    Obama: Trump hatakuwa rais Marekani

    Image copyright AFP Image caption Bw Obama amekuwa akikutana na viongozi wa nchi za kusini mashariki mwa Asia Rais Barack Obama amesema anaamini mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani. Amesema kazi hiyo ni “kazi kubwa”. "Ninaendelea kuamini kwamba Bw...
  14. P

    Kanye West aomba pesa kutoka kwa Zuckerberg

    Image copyright Reuters Image caption Kanye West alisema majuzi kwamba anadaiwa $53m Mwanamuziki Kanye West amemuomba hadharani mwaanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ampe usaidizi wa kifedha. West anataka Zuckerberg awekeze $1bn (£700m) katika miradi yake akisema yeye binafsi hana...
  15. P

    Kwa maneno haya ya Idris, ni kweli mimba ya Wema ilitoka!

    Basi na yule jamaa ambaye jogoo alipandi inawezekana ikawa kweli.................................
  16. P

    Obama alalamikia wi-fi White House

    Image caption Huduma ya wi-fi si ya kutegemewa sana White House Rais wa Marekani Barack Obama amelalamika kuhusu huduma ya wi-fi katika ikulu ya White House alipokuwa akihojiwa kwenye runinga. “Kuna maeneo mengi sana hayana wi-fi,” Rais Obama amefichua akihojiwa kabla ya mchuano wa Super Bowl...
  17. P

    Mbunge Zimbabwe avunja rekodi ya busu Afrika

    Image caption Mbunge Joseph Chinotimba Zimbabwe Mbunge mmoja nchini Zimbabwe Joseph Chinotimba ameingia katika kumbukumbu za Afrika baada ya kumbusu mke wake Vimbai kwa muda mrefu zaidi kuwahi kunakiliwa barani Afrika. Mbunge huyo na mkewe walizoa tuzo hilo baada ya kupigana busu kwa dakika 10...
  18. P

    Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL

    Mshirikishe mwenzako Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 15 Februari, 2016. Nambari Klabu Mechi Mabao Alama 1 Leicester 26 19 53 2 Tottenham 26 27 51 3 Arsenal 26 18 51 4 Man City 26 20 47 5 Man Utd 26 9 41 6 Southampton 26 10 40 7 West Ham 26 9 40 8 Liverpool 26 2 38 9 Watford 26 1 36...
  19. P

    Onyo: Ukivunja ahadi ya ndoa ni ubakaji India

    Image caption Onyo: Ukivunja ahadi ya ndoa ni ubakaji India Polisi nchini India wamemkamata mwanamume mmoja raia wa Scotland kwa madai ya ubakaji baada ya kuvunja ahadi ya ndoa na mwanamke aliyeshiriki ngono naye. Mtu huyo alituhumiwa kwa kosa hilo baada ya aliyekuwa mpenziwe kumshataki kuwa...
  20. P

    Kijana aliyetegua kitendawili cha Kanye West

    Image copyright Image caption Kanye West ametoa albamu mpya Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake. Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa kirefu herufi TLOP zinasimamia nini kwenye jina la albamu ya...
Back
Top Bottom