Search results

  1. zuumwang

    Makosa ya Mtandao: Aliyetaka Mwamunyange apindue nchi ashinda kesi

    Wengi waliobahatika kutoa maoni yao wameelekea kumlaumu hakimu Rwizile kwa kutumia neno Facebook fun badala ya Facebook fan. Binafsi natofautiana na watoa maoni wengi kwa mantiki kwamba nikiangalia uandishi mzima wa hakimu Rwizile nimefikia kuamini kuwa hilo neno la fun limeingia pale kimakosa...
  2. zuumwang

    Hoja: Msajili wa Vyama vya Siasa ana Mamlaka kufanya alichofanya kwa Lipumba na CUF?

    Ukiangalia kihisia utakuta Lipumba hayuko sahihi. Lakini ukiangalia kisheria, utakuta Lipumba yuko sahihi kabisa. Sasa tufuate usahihi wa kihisia? au wa kisheria? Jibu ni fupi, wa kisheria. Mwanya ulioachwa na uongozi wa CUF umemruhusu Lipumba kufanya alilofanya. Hivi sasa wa kulaumiwa ni...
  3. zuumwang

    Hoja: Msajili wa Vyama vya Siasa ana Mamlaka kufanya alichofanya kwa Lipumba na CUF?

    Kwa vile maelezo ya kisheria yapo wazi , ni vema kuyaunga mkono maamuzi ya msajili wa vyama. Hapa kosa haliko kwa msajili bali ni kwa hicho chombo cha CUF kilichopaswa kuifanyia kazi hima hima barua ya kujiuzuru ya Prof. Lipumba. Wao wakawa wanasua sua. Chelewa chelewa , utakuta mwana si wako...
  4. zuumwang

    CUF: Msajili wa Vyama hana Mamlaka kutoa ushauri, msimamo au mwongozo kwa vyama vya siasa

    Asante ndugu yangu. Ni kweli sijaongelea suala la kuzuiwa kwa mikutano kwani wanasheria wengi walishalijadiri hilo na pengine ndio maana tunaona hali ya kulegeza kamba inazidi kuchanua. Kwani hivi punde tumesikia polisi wakinena jambo jema katika suala hilo huku wakitoa sababu zinazolenga kuleta...
  5. zuumwang

    CUF: Msajili wa Vyama hana Mamlaka kutoa ushauri, msimamo au mwongozo kwa vyama vya siasa

    Ningeweza kutumia vifungu vingine vya sheria kwa nia ya kupingana na hoja za kisheria zilizotolewa katika maamuzi haya. Lakini kwa vile sina hoja kinzani na hoja hizo , nadhani sioni umuhimu wa kutoa hoja mbadala. Lakini kwa wewe ama yeyote anayepinga hoja za kisheria zilizopelekea maamuzi haya...
  6. zuumwang

    CUF: Msajili wa Vyama hana Mamlaka kutoa ushauri, msimamo au mwongozo kwa vyama vya siasa

    Nimefuatilia maoni ya baadhi ya wanajamii hapo juu. Nimegundua kuwa katika baadhi ya watoa maoni wanaingia katika tatizo kubwa sana la kutozijua sheria na namna ya kuzipinga hoja za kisheria kwa kutumia sheria zingine. Tatizo la walio wengi humu jamvini hawajipi muda wa kutosha katika kufuatilia...
  7. zuumwang

    The Economist on Magufuli: A President who looks good but governs impulsively

    Nimefunguka. Kumbe hii Makala itakuwa imeandikwa na Acacia mining. Huenda ni hao hao wana Acacia mining wamekuwa wakitumia mwanya wa kudanganya kwamba bidhaa zao zinapitiliza kwenda nchi jirani ili kukwepa kulipa kodi . Lakini wakishafika mahali fulani hugeuza njia na kuzipeleka kwenye maghala...
  8. zuumwang

    The Economist on Magufuli: A President who looks good but governs impulsively

    Ah kumbe inaweza kuwa ni hiyo kampuni ya Acacia. Naamini , nimefunguka.
  9. zuumwang

    Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

    Kosa ni kosa halina rangi. Ikiwa ni watanzania wamekosea wachukuliwe kuwa watanzania waliokosea. Kitendo cha kuangalia rangi zao ama uasili wao ni kuingia katika kosa lile lile kama wao isipokuwa hili linakuwa ni kwa upande mwingine. Tuondokane na tabia ya kubagua watu bali tuangalie makosa ili...
  10. zuumwang

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Si tafsiri nzuri kubeba neno la lugha nyingine kama lilivyo na kuliegesha katika Kiswahili chetu. Kwa kiasi kikubwa linakosa maana na uzito kama ambavyo lingetumika neno lenye kulenga mazingira ya lugha yetu. Mathalani, neno "habari moto moto" au lolote lenye kushabihana na hilo lingeonesha...
  11. zuumwang

    KUB, Mbowe auchambua utawala wa CCM chini ya Magufuli: Umejaa uvunjifu wa Katiba, Sheria

    Ama kwa hakika akili kila mtu ana zake. Hawa akina Mbowe ni juzi juzi tu walipokea mafisadi chamani . Je, walipeleka kwanza taarifa zile katika gazeti la serikali? ama kama si huko je, walikisusia CHADEMA kwa kupokea kikosi kile cha mafisadi? Hawana kitu cha maana hao jamaa. Walau kama fedha...
  12. zuumwang

    Kambi ya Upinzani yasusia Bunge, watoka nje ya ukumbi

    Ama kwa hakika akili kila mtu ana zake. Hawa akina Mbowe ni juzi juzi tu walipokea mafisadi chamani . Je, walipeleka kwanza taarifa zile katika gazeti la serikali? ama kama si huko je, walikisusia CHADEMA kwa kupokea kikosi kile cha mafisadi? Hawana kitu cha maana hao jamaa. Walau kama fedha...
  13. zuumwang

    VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    Sioni kama kuna tatizo kumtuhumu mtu na kisha kuruhusu uchunguzi ufanyike dhidi ya mtuhumiwa na kisha kumpeleka mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake. Mara zote nimekuwa nikifuatilia nimegundua kuwa hayo yamekuwa yakifuatwa. Wanaoongelea udikteta sijui kama wanafahamu maana ya udikteta...
  14. zuumwang

    Sudan Kusini yajiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Rais Magufuli ashuhudia utiaji wa saini

    Mawazo ya Nyerere yanaelekea kutimia kwamba kuunda Taifa moja la Afrika lenye nguvu duniani kama nchi moja ni lazima tuanze na umoja wa kikanda . Kwame Nkrumah hakuona iwe hivyo , lakini ukweli wa ndoto ya Nyerere ndio unaojidhihirisha kadiri siku zinavyopita.
  15. zuumwang

    Uongozi wa CHADEMA KYELA uchunguzwe haraka sana

    Tatizo la Gagnija ni mkabila. Hivyo yeye hajali mambo ya chama bali ni mambo ya ukabila. Hivyo siyo rahisi kumpanua kifikra na ndiyo maana anaishia matusi. Ni kuachana naye. Yeye amebaki na Mwakalinga wake hata kama hakuwa chaguo la kura za maoni ili mradi tu ni Mwakalinga. Ni kuishiwa fikra za...
  16. zuumwang

    Kwanini TANESCO wamdanganye Waziri Muhongo?

    Sidhani kama wamemdanganya wamejidanganya. Alipowauliza hivyo alijua fika kuwa wana uza bei ghali. Wapende wasipende watashusha tu
  17. zuumwang

    Jaji Bomani awachafua wazanzibari

    Hakuna pointi hapo bali naona mwandishi naye anatumia Zaidi jazba badala ya kujenga hoja. Ni kukurupuka kwingne huko.
  18. zuumwang

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Jamani achene kugombana . Hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa yule ni Makonda ama si Makonda. Ile ni picha ya mtu tunayemwona akitutazama na yule mwingine hatuna hakikisho kama ni nani. Labda huyo mhusika Ridhawani tunayemwona kwa sura anaweza kutoa neon punde kuhusiana na hilo ili yote miipasho...
  19. zuumwang

    Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Jamani tusimshambulie yeye kama yeye bali tujikite katika hoja hizi zilizo mbele yetu kama ni za kweli ama la. Tukifanya hivyo tutaingia upuzi ule ule wa Jerry wa kumshambulia mwenzie bila kushughulikia agenda iliyokuwa mbele yake. Huo ni uvivu wa kufikiri
  20. zuumwang

    Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Heri huyu amefungua account ya fedha zake binafsi kuliko wale walioliibia taifa kwa ufisadi mkubwa. Katika hili mwacheni Mbowe aende zake anzeni na kurudisha kwanza yale mabilioni yaliyotoroshwa nje kifisadi. Kama hiyo BOT ina meno mbona imekaa kimya kusema kitu hata baada ya ile orodha ya walio...
Back
Top Bottom