Search results

  1. makilo

    Je, bima huwa inawafidia wahanga Hawa?

    Wakuu Kama kichwa Cha habari hapo juu. Naomba kujuzwa, majeruwi na familia za wapendwa waliofariki zinazotokea kwenye mabasi ya mikoani au haya ya humu mijini yenye bima kubwa huwa wanafidiwa? Huwa wakipata majeraa wanatibiwa kwa gharama za Nani? Mmiliki wa chombo serikali au watajua wenyewe...
  2. makilo

    Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

    Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush...
  3. makilo

    Uzi wa kupeana ma buse Bora na Bora nifike je tupande ma bus gani?

    Naanza na mbazi Arusha/dar. Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama. Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9...
  4. makilo

    TIGO wamenitapeli? Hakikai sitokubali.

    Kheri ya ijumaa kuu kwa wote. Siku ya tarehe 23 mwezi wa 3,nilifanya malipo kwa njia ya mtandao nililipa ticket ya bus Dar to Mwanza. Malipo yangu hayakufanikiwa nikawasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia kuna tatizo la kimtandao kwa hiyo fedha zangu zitarudishwa baada ya siku 3. Kila...
  5. makilo

    Kipigo cha Simba SC ni maumivu kwa Yanga

    Wakuu kwema? Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu). Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia kipindi cha mpito. Hasa baada yakufanya usajili mpya kwa wachezaji zaidi ya wa 4 wapya. Timu bado...
  6. makilo

    Wakuu tunawazungumziaje Bongo hoodz ...

    Wakuu majamaa kwa idadi ya muvi zao ambazo nimekucheki mpaka Sasa no. Bongo na flava, Giza la mchana Chafu tatu Fisi weusi Mchepuko Ishu ya simu Siku za arosto(hii iliandaliwa kwa siku1 nazani walifeli kwa upande wangu) Tuzo Na hii muvi Bora Sana kutoka kwa rah c (mtunzi)na timu nzima ya bongo...
  7. makilo

    Jamaa nimemsamehe kwa ukweli wake mchungu. Mke wangu simuelewi

    Wakuu dhihaka hazitakiwi hapa nipo kwenye wakati mgumu mnoo ,Kama huna chakuchagia tafadhali kausha tu. Nimejitahidi Kama mwanaume kuliweka moyoni lakini linaniumiza kwa nadharia zilizopo naamini mke wangu atakuwa amenisariti tu.(japo sijawahi shuhudia) Wakuu ni hivi naishi nyumba moja na...
  8. makilo

    Niliishi kwa kuamini nina UKIMWI kwa zaidi ya miaka 9, asante MUNGU

    2000 mwaka niliomaliza shule ya msingi na kama ilivyo kwa sisi wahenga wa miaka hiyo ilikuwa kuna kitu kinaitwa pikiniki.(Kwa wanafunzi mliomaliza shule mnaenda sehemu kusheherekea kumalizia elimu ya msingi (haijalishi utakuwa mkulima au utaendelea na elimu ya seco lazima ukasheherekee muhimu...
  9. makilo

    Siku niliyoacha kulala kwenye nyumba za wanawake

    Niaje wakuu? Leo sasa hivi hapa ninapoandika kisa hiki nakiandikia TEMEKE HOSPITAL kuna mshkaji mpangaji mwenzangu kaliwa ndogo, yani masela wakukodiwa wamemvisha shanga wakammwagia mafuta ya kura ndoo ndogo mwili mzima ila kumlainisha. Kisa kilichomkuta mshkaji ndio nadhani kingenikuta mimi...
  10. makilo

    Huu ni ukweli CHADEMA tuufanyie kazi

    Kwema wakuu? Ni hivi mimi ni mtanzania ninaye amini maendeleo yataletwa na upinzani iwe mvua iwe jua ccm haitakuwa na jipya kamwe!. Lakini kinachonipa hofu na kuamini ni ngumu kwa upinzani kushika atamu ni hawa watu. 1-Edward lowasa. 2-Sumaye. Hao wote ni mawazili wakuu wastaafu,ni makada ki...
  11. makilo

    Pitia hapa ujifunze kitu

    STORY FUPI INAYOFUNZA SANA Miaka 10 ya ndoa yetu siku moja niliingia nyumbani nikamkuta mke wangu akiniandalia chakula cha usiku. Nilimshika mkono na kumwambia: “Nina jambo ninalotaka kukueleza.” Alikaa na kunisikiliza kwa makini. Dalili za wasiwasi nilikuwa nikizishuhudia machoni mwake. Ghafla...
  12. makilo

    Madawa yamepata mwenyewe,sasa turudi kwenye hili muhimu

    Baada Ya brah brah za kila namna na maigizo ya hapa na pale nia yako mkuu wa mkoa ilikuwa ni kukwepa kuzungumzia ni kwanini dar imefanya vibaya katika matokeo ya kidato cha 4. Leo umehitimisha kuwa vita uliyokuwa unapigana huiwezi ndio maana umeikabizi kwa wenye kazi yako maana lilikuwa nje ya...
  13. makilo

    Mgawanyo hatarishi.

    unamnunulia demu wako cm,mwanaume mwenzio anamnunulia vocha"HUU NI MHAWANYO WA MAJUKUMU,Unamlipia demu wako ada ya chuo,mwanaume mwenzako anamlipia kodi Hostel"HUO NI MUINGILIANO WA BIASHARA.unamnunulia demu wako chupi,mwanaume mwenzio anamvua,UO NI MGAWANYO WA MAJUKUMU,Unamuomba demu wako...
  14. makilo

    Naitaji boxar pikipiki

    Nina million 1 naomba mwenye pikipiki aina ya boxar ambayo ipo kwenye hali nzur aniuzie,kama unayo nicheki 0753 90 31 90, A-iwe kwenye hali poa maana kabla ya ununuzi ukaguzi muhimu. B- iwe ni yakwako iwe na jina lako iwe na kadi. C-isiwe boda boda mzoefu,niuzie kwa kusaidiana tu. Asante nipo...
  15. makilo

    Jongoo kwenye daladala

    Unakuta Umesimama kwenye gar kisha mdada kasimama mbele yako kisha anakuletea manyanga ya nyuma,na kwavile ile pachu pachu inakuwa usawa wa jongoo na jongoo halina hiyana utakuta lina chachamaa "linadisa".. Sasaa ninachouliza hivi wanadada jongoo likiwa wima na linakugusa gusa huwa mnajua? Na...
  16. makilo

    Tabia ya kulala kanisani

    HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI Kanisani leo kuna mdada alikuwa amelala, akaamka akasikia Pastor anasema "SIMAMA" Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama! Pastor...
  17. makilo

    Itawezekanaje upinzani kuwatoa CCM madarakani?

    Huwa ninawaza sana kwa upeo wangu mdogo tu na huwa ninajiuliza sana lakini nakosa majibu ya moja kwa moja. Moja ya vitu vinavyonitatiza sana ni jinsi gani wapinzani wataweza kukitoa chama cha mapinduzi madarakani? 1. Kwa kutumia sanduku lakupigia kura huku tume ya uchaguzi ikiwa chini ya...
  18. makilo

    Alikiba vs Yamoto band

    Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa na Best Male Artist in Eastern Africa. Alikiba ametajwa kuwania kipengele...
  19. makilo

    Sory nimekufananisha

    Upo sehemu unatembea kwa miguu, kati kati ya safari yako ukiwa huna hili wala lile unashtuliwa na Kofi moja zito la Uso mpaka unafumba macho, ile hujakaa sawa inakuja Ngumi ya pua.. unajaribu kukimbia unapigwa mtama kimo cha mbuzi, Halafu unasikia sauti ikisema"NILIKWAMBIA IPO SIKU NITAKUKAMATA...
  20. makilo

    Video: Shilole asema amepata bwana mpya lakini "anamgonga" mpaka basi

    Katika pita pita zangu nimekutana na uchafu wa Shishi baby. Kiki kama hii haikutakiwa kupostiwa mwezi huu ambao waislamu ulimwenguni kote wapo kwenye toba.
Back
Top Bottom