Search results

  1. sambasha

    Polisi: Hakuna sheria inayolazimisha gari kusimama ktk vivuko vya pundamilia kama hakuna anayesubiri kuvuka

    Mwanasheria wa Jeshi la Polisi amesema hakuna sheria inayolazimisha magari kusimama katika vivuko vya pundamilia kama hakuna mtembea kwa miguu anayesubiri kuvuka. Aidha ameongeza kusema kuwa, kuwasha taa za ''hazard'' inamaanisha una dharura na unamruhusu aliye nyuma yako akuovertake na...
  2. sambasha

    Tukio gani la kikatili ulifanya na halifutiki moyoni hadi leo?

    Mimi sikumoja kibaka alifungua dirisha langu nika mkata mkono kiganja kikawa kinaninginiaa basi hadi Leo roho inauma japo alikua mwizi
  3. sambasha

    Nimeamua kusitisha matumizi kwa aliyekuwa mke wangu, kisheria nina makosa?

    Habar zenu wakuu. Miaka7 iliyopita nlikua na mwanamke tuliishi nae na tukapata watoto wawilii lakini ndani ya uhusiano huu pia tulienda kwa shehe tukafunga ndoa ili tupate cheti kwasababu hyu bibie ni mwalimu na alikua anataka apate uhamisho ahamie mjini kwani alikua akifundisha nje ya mjini...
  4. sambasha

    Msaada please

    Habar zenu wakuu.samahani mwenyekujua simu yangu Sony experia Z3+ inaconect vzuri Internet na kuingia vizuri play store ila niki download application,inaonyesha ule mstari wa kudownload Lakin haiendelei. Tatizo ninii?natanguliza shukrani
  5. sambasha

    Vinywaji aina ya shark

    Kuna hivi vinywaji aina ya shark naviona vimezagaa mtaani huku arusha vinauzwa 1000.. Madai yao vinakaribia ku expare.. Wahusika embu litazameni kwa kina
  6. sambasha

    Ajali Oldonyo Sambu: Magari mawili yagongana uso kwa uso

    Leo nimekuta ajali hii njiani kuelekea Namanga gari zimegongana. Gari ndogo hizi zimegongana uso kwa uso.
  7. sambasha

    Askari wetu namanga hadi ngaramtoni

    Mwezi uliopita nilidrive hadi uganda,safari nilianza jioni kupitia namannga nikafika Kampala kesho yake saa nane mchana, kwakweli si kwamba hakuna askari njiani wapo ila niwakarimu kwa wageni wanauliza driving license na insuarance passport ukiwanavyo hivyo anakuruhsu unaenda na sii sehem zote...
  8. sambasha

    Fire extinguisher nalo jipu

    Ni miaka 3 sasa ninakatwa elfu30 kila mwaka lakini sijawahi kupewa fire extinguisher.. Na nikikutana na askari wa barabarani wananiuliza iyo fire xtngsh na kama huna basi unalipishwa fine.mh waziri husika lione hili ni uonevu kwa wenye magari..
Back
Top Bottom