Search results

  1. Irenga

    Vyama vya Siasa vibadilike vitoe Fomu za kugombea kwa njia ya Mtandao

    Ni wazi Dunia imebadilika sana hasa katika nyanja ya Sayansi na Teknolojia katika Karne ya 21 hii nilitegemea kuona Vyama vya Siasa vitoa Fomu kwa njia ya Mtandao ( Online ) kama vile ambavyo Wanafunzi huomba nafasi za kujiunga na Vyuo Mbalimbali lakini cha kushangaza hakuna hata Chama kimoja...
  2. Irenga

    Gwambina Football Club yapanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21

    Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada...
  3. Irenga

    Hodi, hodi!

    Hodii.... Sina budi kubisha hodi kwa sababu ndio naingia sehemu ngeni ambayo wenyeji wake wamekwisha andaa mazingira yake vizuri.Kwa mantiki hiyo ni lazima niombe utambuzi wenu kwangu ili tuwe nanyi pamoja. Naombeni ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom