Search results

  1. wazirib28

    Professional Logo & Brand Identity Design

    Habari! Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika...
  2. wazirib28

    Mbeya City's Photo Gallery

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. wazirib28

    Uhakiki TCU

    Habarini wanajamvi. Mnamo tarehe 17/10 kun tangazo la TCU lilisambaa kuhusu kufanya uhakiki. Lakini mimi nimejitahidi kutafuta namna ya kufanya lakini nimeshindwa. Kama kuna aliyeweza atujuze tafadhali.
  4. wazirib28

    Nikinywa Pombe Silewi, je ni tatizo la kiafya au ni faida?

    Wakuu... mara kadhaa huwa napitia matatizo fulan na huwa natamani hata kulewa ili angalau niyasahau kwa muda mfupi. Lakini sijui ni tatizo au ni faida... kila nikinywa pombe kiasi chochote kile lakini silewi. Kuna siku nilikunywa konyagi mbili lkn sikulewa hata kidogo. Wataalamu wa haya masuala...
  5. wazirib28

    UDOM Pitia hapa, Neema Hizi

    Chuo Kikuu cha Dodoma kimeendelea kuonesha jinsi kinavyojari wenye kipato cha chini. Kuna kitu kipya kimeleak. Kuanzia mwaka huu kama una mkopo chini ya 100% unaweza kufanya usajili kabla hujalipa ada kwa mkataba maalumu wa kukatwa boom. Njoo usome kijana... usisingizie kukosa ada. Sample ya...
  6. wazirib28

    Huduma za TTCL

    Habarini wanajamvi. Naomba kwa mwenyee anajua bundles na huduma zingine za mtandao wa TTCL afanye kushare nami/nasi please
  7. wazirib28

    Kublock XXX

    Habarini ndugu jamaa na marafiki. Mimi nimeamua kuachana kabisa na XXX. Lakini kuna zingine huja bila kukusudia kwamfano ktk mitandao ya kijamii. Hivyo naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kublock hizo vitu sizihitaji kabisa. Au kama kuna app ya kufanya hivyo naomba tujuzane hapa.
  8. wazirib28

    Ndege Za Kivita

    Marekani imetuma ndege mbili Korea Kaskazini ili kuwatuliza. Ndege hizo zina uwezo wa kubeba makombola ya nyuklia.
  9. wazirib28

    Celebrities wa kike toka Mbeya

    Habarini wakuu, Nahitaji kuwajua celebrities wa kike toka Mbeya.
  10. wazirib28

    NAKUMBUKA MBALI

    Nakumbuka mbali pindi nikiiangalia hii picha. Inanikumbusha enzi hizo nipo darasa la nne..nilishika nafasi ya kwanza ktk mtihani wa nusu muhula...na zawadi hiyo nilipewa na shule kupitia mwalimu wa taaluma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. wazirib28

    Nyimbo za mapenzi.

    Naombeni msaada wa nyimbo nzuri za mapenzi zinazoweza kuniliwaza mimi nikiwa pamoja na shemeji/wifi yenu.[emoji445] [emoji444] [emoji447]
  12. wazirib28

    Msaaada Samsung

    Habari wakuu.. nina simu aina ya Samsung Galaxy Ace 4 neo. Tatizi ninalolipata ni speed. Sielewi tatizo ni lipi hasa. Je ni RAM? SOFTWARE VERSION? au nini? Suala la software ilikuwa ipo built na 4.2Jelly bean... nimeupgrade hadi 4.4 kitkat lakini sioni mabadiliko. Je, nifanyeje?
Back
Top Bottom