Search results

  1. Bambii

    Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    mtoa mada wewe umesoma wapi? Kayumba au international schools? Kama jibu ni kayumba, je? mafanikio yako unayalinganisha na ya nani hapo sammata? au diamond?
  2. Bambii

    Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    jamaniii umenichekesha sana, eti kayumba zilizochangamka
  3. Bambii

    Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    kwa nini unafuatilia comedy zake si uende kwenye pages zinazokuchekesha. Pole kwa njaa, maana unaonekana umetype kwa chuki sana
  4. Bambii

    MIMI: Hivi ni kweli kupenda kutumia sana neno hili ni ishara ya ubinafsi?

    Matumizi yaliyokithiri ya mimi ni ishara ya ubinafsi sana. Hata kwenye mahusiano, mtu akishaanza kuwa na mimi, mimi nyingi ninaona ni mtu asiyeweza kuwa 'humble'.
  5. Bambii

    Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

    Kwa kusoma comments humu inaonesha jinsi gani watu tunapenda kukuza mabaya ya wengine, mtoa mada kauliza wasifu, kama hujui mazuri ya mtu then kaa kimya. kwa nini umseme mwingine kwa mabaya?. Haya let's say huyu mtumishi ni mpigaji na mkosefu sana, wewe mwenye umakini na uelewa mkubwa wa neno...
  6. Bambii

    Mwenye CV ya Mwl. Christopher Mwakasege aiweke hapa

    Tunasubiri semina elekezi toka kwako mpakwa mafuta wa chuki, wewe usiye mtegemea mwanadamu tupe mafundisho basi
  7. Bambii

    Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

    sent from tecno J5 mobile app, ukipunguza kuonea wivu na kutakia wenzio mabaya atleast utaupgrade hata simu mwaka huu 2020
  8. Bambii

    Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

    akieleweka na kocha wake inatosha. wewe ni nani hadi umuelewe? yeye anakuelewa?
  9. Bambii

    Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

    ila mshahara wake hautashuka. tujifunze kufurahia mafanikio ya wenzetu
  10. Bambii

    Mbwana Samatta aanza kusugua benchi KRC Genk

    unajiskiaje unapomuona samatta akisaini aston villa ndugu ?
  11. Bambii

    Nimemaliza masomo Canada ninahofia kurudi nyumbani

    Wana jamvi ninaomba ushauri wenu, Mimi ni mwajiriwa wa serikalini nilipata nafasi ya kuja kusoma Masters kwa ufadhili wa chuo kimoja hapa Canada. Japokuwa nilifanya kazi kwa mwaka mmoja tu kabla sijaja masomoni. Muda wangu wa masomo unakaribia sana kuisha na ninaona nafasi za ajira na maisha...
  12. Bambii

    I don’t wanna marry him, what should I do?

    ni sawa kabisa kutokuolewa na mtu kama haujiskii kufanya hivyo. maisha ni haya haya na ndoa ina mambo mengi sana ambayo yatahitaji upendo ili ufurahie, so mwambie tu ukweli, kweli itakuweka huru. ataumia lakini ataendelea na maisha yake na hautahitaji kuencounter divorce or something mbele ya...
  13. Bambii

    Tusaidiane mawazo ya namna ya kupunguza bajeti za harusi

    Suala la harusi limekuwa na mtazamo tofauti, na siku za karibuni kadi za michango zimekua 'kero' kwa wengi. Watu wengi huwa na mawazo kuwa siku hii ni siku moja tu haijirudii hivyo kujikuta wanatumia gharama nyingi katika vitu mbalimbali ambavyo hupelekea gharama kwa ujumla huwa kubwa sana...
  14. Bambii

    Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

    Aiseee, nimesoma comments hapa unaweza dhani duniani binadamu wote wabaya. Ukatamani usisaidie tena mtu au usitende wema. but I am very positive kuna mambo mengi mno mema watu wamenifanyia nyakati ambazo sikuweza au nlikua mhitaji mno au wamewafanyia wengine ambayo yaninipa sababu kuendelea...
  15. Bambii

    Wenye uwezo acheni kuomba michango ya matibabu katika mitandao na vyombo vya habari

    so whats your point? wauze clouds media group ili atibiwe? fine, we hujachanga na hutakaa kuchangia mtu akiumwa, mbona busy na kampeni za kupinga watu wasitoe fedha mifukoni mwao kumchangia Ruge? Umesema ni tajiri tuwekee figure hapa za account yake ina fedha kiasi gani ili tujiridhishe...
  16. Bambii

    Michango ya matibabu ya Ruge: Kuna mambo yanafikirisha kidogo...

    be kind with your words. Hata kama mtu hana umuhimu wowote kwako, unafikiri akifariki wewe utagain chochote?
  17. Bambii

    Michango ya matibabu ya Ruge: Kuna mambo yanafikirisha kidogo...

    sasa madadkari bingwa wamesema ni figo. wewe daktari mkuu unasema inatibika kirahisi may be unaweza kutoa mchango wa huu utaalamu wako ili apone]
  18. Bambii

    MakJuice ni Upotoshaji unaoota mizizi Tanzania

    I wish nilike hii comment mara 1000 yaani I was neglected hadi sina hamu ya kwenda kwenye kile kijuice bar chake pale Africasana
Back
Top Bottom