Search results

  1. Mr. JF

    Sarafu ya Tanzania (TZS) yazidi kuporomoka dhidi ya Dollar (USD)

    Power to the People Wanajamvi!!! Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za kigeni. Kiwango ambacho TZS imeporomoka sasa hivi, hakijawahi kufikiwa tangu uwepo wa TZS duniani, yaani...
  2. Mr. JF

    Kata Simu, Kata simu, Tupo Site!!

    Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi! Wakatabahu!
  3. Mr. JF

    Chips Zege ya Clouds

    Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula...
  4. Mr. JF

    Unadhani Spika Ndugai alikuwa anasema nini?

    Unahisi Mh. Speaker alikua anasema nini?
  5. Mr. JF

    Jambo litokealo mara nyingi baada ya kugegeda dem mpya!

    Nina swali wana MMU. Mwanamke kuumwa na vichomi au tumbo baada ya kugegedwa husababishwa na nini?
  6. Mr. JF

    Njoo P.M

    Kama umevutiwa na mtu au kitu anza wewe kumwendea PM, sio from no where una comment Njoo PM!!
  7. Mr. JF

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Hii ni thread maalum kwa wadau wote wanaouza maeneo sehemu mbali mbali hapa Tanzania, na pia kwa wadau wote wanaohitaji kununua maeneo.. #SellersMeetBuyers Kama unauza eneo lako tiririka mama ifuatavyo: Ukubwa wa eneo hilo Mahali eneo hilo lilipo Sifa za eneo hilo (Limepimwa au Halijapimwa)...
  8. Mr. JF

    Miaka 50 ya ndoa

    Habari za jumapili wana MMU, Napenda kuuliza jambo moja kuhusiana na hii dhana ya hizi marriage anniversaries. Lets say ulifunga ndoa miaka 50 iliyopita, lakini baada ya kufunga ndoa, mlikaa miaka 10 mkaachana, kila mtu akaendelea na maisha yake (possibly mume ukawa na mke mwingine au mke akawa...
  9. Mr. JF

    Plot4Sale Shamba / Viwanja vinauzwa Dodoma

    Wasalaam wana JF Kwa heshima na taadhima napenda kuwafahamisha kwamba ninauza shamba langu lililopo eneo la Ihumwa katika manispaa ya Dodoma. Mwenyewe nina heka kadhaa katika eneo hilo, hivyo nimeamua kukata heka 5 kwa ajili ya kuuza. Shamba lipo umbali wa kilometa 2.5 kutoka barabara kuu ya...
  10. Mr. JF

    Hongera FaizaFoxy, Nyani Ngabu

    Kwa kupitia muonekano mpya wa JamiiForums tumewaona kwa urahisi vinara wa kupost JamiiForums. Hawa watu kwa kweli wanahitaji pongezi especially super woman bibi yetu @FaizaFoxy Pia Nyani Ngabu naona amekuwa king'ang'anizi tangu enzi za mzee mwanakijiji. Pongezi hizi ni maalum kwa kuufunga mwaka...
Back
Top Bottom