Search results

  1. Mr. JF

    Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

    Wamiliki wa hayo maeneo hawana muda wa kuperuzi matangazo madogo madogo online!
  2. Mr. JF

    Ally Hapi: "Huyo fisadi, mla rushwa anamuogopa Samia"

    Nafufua Thread ...
  3. Mr. JF

    Nyumba inauzwa Morogoro mjini (kichangani street)

    🎵 USIJE MJINI - Mwana FA
  4. Mr. JF

    Israel yalaani Sweden kuruhusu uchomaji wa biblia ya kiyahudi ya Toraw

    THIS IS YOU: DEIST Deism is a philosophical position that asserts the existence of a higher power or creator but rejects organized religious doctrines and dogmas. Deists typically rely on reason, observation of the natural world, and personal experiences to form their beliefs about God. They...
  5. Mr. JF

    Naomba kufahamishwa matumizi ya mmea datura

    Achana nao mzee, bora ule ndum!! Datura (jimson weed), shrooms (magic mushroom) etc, hizo mimea ni majini kabisa hayo, kuna namna ukiyatumia kwenye meditation unaona hadi wabaya wako!
  6. Mr. JF

    Sarafu ya Tanzania (TZS) yazidi kuporomoka dhidi ya Dollar (USD)

    Power to the People Wanajamvi!!! Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za kigeni. Kiwango ambacho TZS imeporomoka sasa hivi, hakijawahi kufikiwa tangu uwepo wa TZS duniani, yaani...
  7. Mr. JF

    Richard Rwezaula

    Kwa maneno haya nimeshapata majibu kwamba wewe ni SHOGA unapelekewa moto!! Endelea kummiss mwanaume mwenzako!
  8. Mr. JF

    Richard Rwezaula

    Yaani miaka 7 tu unamtafuta mtu JamiiForums?
  9. Mr. JF

    Tulienda kupiga ramli kwa mganga hatari kuliko wote Afrika kujua who was behind our problems

    Ujumbe wako umefika, ila haikua na haja ya kuihusisha SIMBA na mauganga yako! Eti jezi nyekundu kama ya Simba, wakati hapo ni kitambaa cheupe!
  10. Mr. JF

    Kata Simu, Kata simu, Tupo Site!!

    Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi! Wakatabahu!
  11. Mr. JF

    Make Hapo kwanza Nchekee!?

    Hakuna neno "Maanaake" kwenye Kiswahili sanifu, bali kuna maneno mawili "Maana Yake"
  12. Mr. JF

    Chips Zege ya Clouds

    Imagine zama hizi ambazo dunia nzima inapambana na magonjwa yasiyoambukiza (Non Communicable Diseases) yakiwemo Magonjwa ya Moyo, Sukari, Cancers etc, ni nyakati ambazo dunia nzima inasisitiza kuepuka vyakula vyenye viashiria vya visababishi vya Magonjwa haya (kwa mfano kuepuka vyakula...
  13. Mr. JF

    Covid-19 attack levels: Dondoo muhimu za kujua na hatua za kuchukua

    Hizo Ph za hayo matunda, rudi darasani, unatudanganya, ushawahi kuona Ph ya 15 au 22?
Back
Top Bottom