Simbanking inarahisisha kwenye kufanya malipo mbalimbali. Ikitokea muamala umekwama Naamini hizi ni changa moto tu ambazo zinaweza kutokea kwenye Kampuni yoyote siyo CRDB tu. Hakuna biashara bila changamoto, na kupitia changamoto hizo ,kampuni au Biashara inaweza kufanya vizuri zaidi. Bigup...
Wananchi wengi tunaendesha maisha yetu kwa kupata mikopo kutoka benki, kama itabaki Benki moja tu, ni wazi maisha yetu yatatetereka kwakuwa riba itakuwa kubwa zaidi na tutashindwa kukopa, mwisho wa siku maisha yatakuwa magum na umasikini utazidi kutawala.
Banking Industry inatakiwa kupewa saport kubwa na kuhakikisha inafanya vizuri kwakuwa inachangia ktk ukuaji wa uchumi wetu. Mh. Rais anatakiwa ahakikishe benki ambazo hazifanyi vizur zinatafuta njia mbadala ili zifanye vizur na kuongeza pato la nchi.
Ni vizur kukaa na kuwaza nifanye nn kujikwamua kiuchumi lakini sio kuwachukia au kuwafanyia fitna wale wenye mafanikio kiuchumi; Hii ni itakufanya uzidi kupoteza nafasi ya mafanikio. Benki ya CRDB inajina kubwa pia inamafanikio makubwa ukitafta mbinu ya kuichafua utapoteza nafasi zaidi ya kuifikia.
Bank ya Crdb ni benki kubwa sana na yenye mtando mpana wanao mawakala wao kila kona na matawini yanayo tembea na wanakopesha kwenye kilimo mikopo mikubwa. Wanastahili sana kutunza hela na kusambaza hela ya selikali
Bank ya Crdb ni benki kubwa sana na yenye mtando mpana wanao mawakala wao kila kona na matawini yanayo tembea na wanakopesha kwenye kilimo mikopo mikubwa. Wanastahili sana kutunza hela na kusambaza hela ya serikali
Siku zote mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe. Bank ya CRDB ni Benki yenye mafanikio makubwa kutokana na huduma zake bora kwa jamii. Sishangai Benki hii ikisemwa vibaya.
Kuna njia nyingi za kuvutia wateja kwenye biashara; lakini kutoa taarifa ambazo sio sahihi ni kupotosha jamii. Hizo khabar sio za kweli. Kiufupi Dr.Kimei hajatamka maneno hayo.
Jamani kuna njia nyingi za kuvutia wateja kununua magazeti. Kutoa taarifa ambazo sio za kwel ni kupotosha jamii. Dr.Kimei hakuongea hayo. Benki ya CRDB haijasitisha mikopo kwa sababu hizo. Mm ni mteja wao na Nina furahia huduma zao.
Uko sawa kabisa, ninavyojua mimi na ndivyo hivyo ilivyo. SWIFT na TISS zote zinapitia BOT. Lakini pia kama mfanyabiashara makini unaweza kuomba huduma ya internet banking ukafanya transfers mwenye ukiwa home unakunywa kinywaji chako safiiii. Mimi mwenyewe natumia hiyo.
Mkatagogo, Kama unatumia mtandao wa Voda lazima uwe na salio la maongezi ndo uweze kutumia Simbanking ila kwa mitandao mingine sio lazima uwe na salio, Hata mimi imewahi kunitokea sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.