Search results

  1. prenge

    Kwanini waarabu na wayahudi wasisemwe?

    Nimegundua jamii forum ukiwagusa waarabu au wayahudi mjadala unakuwa mkali sana.. Mbaya zaidi matusi,kejeli na kashfa kibao juu ya imani za watu... Wadau tambueni hizo jamii ni binadamu km wengine wanamapungufu yao km ulivyokuwa wewe mswahili... NB: heshimu kila MTU...toa sifa na kosoa pale...
  2. prenge

    Madaktari wengi ni kiume ni walevi na wametelekeza familia

    Spelling error ...madaktari wengi wa kiume ni walevi na wametelekeza familia
  3. prenge

    Kusomea masomo ya sanaa ni kujiandaa kukaa nyumbani

    Mazingira ya dunia ya Leo yamechange sana Unamsomeshaje mtoto HR ..business ADM,unataka nn NB: dunia ya Leo ni ya kujiajiri tu....
  4. prenge

    Chanzo cha mapenzi ya jinsia moja Afrika Mashariki

    Mapenzi ya jinsia moja umeanza muda mrefu sana tangu karne ya 8. Bahati nzuri kipindi hiki hakukuwa na media kama sasa. Ni kipindi ambacho biashara ya utumwa ilishamiri sana. Wanaume ndio walikuwa wanahitajika zaidi kuliko wanawake. Hivyo basi kutokana na kusafiri muda mrefu kwenye majahazi...
  5. prenge

    Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    Nimesikia watu Fulani..maeneo Fulani wakisema mecca ndio katikati ya dunia... Km ni kweli dunia ni spherical shape huo ukatikati unatoka wapi? Namanisha sphere ina center kweli? Nafikiri km katikati ni mecca basi dunia ni flat.... Nipe elimu hapo wale physical geography.....
  6. prenge

    Nisaidieni tofauti ya viza na passport

    Msaada jamani hiyo viza sijui wanaandika hivyo bwana wee nisaidieni au passport ndio viza kwa kiswahili?
  7. prenge

    Kama dunia inazunguka kwanini hatumwagiki?

    "Nakumbuka shuleni tulisoma dunia inajizungusha" bwana we mtaongezea maneno siunajua enzi zetu divison5 @ naomba msaada kwa nini hatuhisi kuzunguka? Kwa nini maji hayamwagiki baharini? Kwanini hatujikuta tuko ulaya tule maisha maana uwezo wa kupata viza sijui passport maana sielewi hata...
  8. prenge

    1k maana yake nini?

    Wajuvi wa mambo nisaidieni@ niliishia form four division5
  9. prenge

    Amelipa mahari milioni 4!

    Niko maeneo kumpa kampani rafiki wa karibu Erick anafunga ndoa mwezi 5 mwishoni. Sasa nimepata na mshangao tulivyoingia ndani kaambiwa mil5 baada ya kulialia katoa milioni 4 cash katika 5 milioni. Wajomba wamekomaa hawakupunguza.. Jamani mimi naoa wiki ijayo nimelipa 70,000/= tu. NB: Wajomba...
  10. prenge

    Unawezaje kuwa na mke mmoja?

    Ni ngumu kueleweka na ila kiasili sisi wanaume tumeumbwa kuwa na mke zaidi ya mmoja na kwa upande wa waislamu imehalalishwa ila kwa ndugu zangu wakristo ni mke mmoja tu na sina uhakika kama imeandikwa iwe hivyo wajuvi wa mambo wanielimishe. Cha kushangaza wale wote wenye mwanamke mmoja...
  11. prenge

    Kwanini baadhi ya watu huchelewa kuoa?

    Huwa najiuliza peke yangu sipati majibu...??????????? Kwanini wenzetu wa imani ile........ wanachelewa sana kuoa? Unakuta wachumba wanakaa nyumba1..wanazaa hadi watoto by 35+ ndio ndoa hufuata ni kwanini?
  12. prenge

    Mrithi kagoma kutoa picha

    Utaratibu ukoje nini hatua za kuchukua ili haki itendeke
  13. prenge

    Hakuna anayependa kujiua.

    Ni rahisi sana kuona walio hai wakimlaumu marehemu aliyejitoa uhai. Kumbuka hata huyo unayemlaumu possibly amewahi kulaumu as u do. Hii dunia ina mambo mengi sana ambayo husipokuwa makini na muwazi kwa rafiki au ndugu wa karibu utakuwa mmoja wao. Amini nakuambia kuna watu wengi sana ambao huwezi...
Back
Top Bottom