Search results

  1. P

    Nini kiliipata hii bodi?

    Mapema January mwaka huu waziri mkuu alitoa ufafanuzii juu ya kile kinachoitwa bodi ya mishahara ilii kurekebisha mishahara iendane na elimu na ugumu wa kazi. Leo ni Desemba hakuna tamko au chochote kipya. Alhamisi, Januari 24, 2019 Majaliwa akutana na wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Maslahi...
  2. P

    Namtafuta rafiki yangu Godfrey "Jully" Temba

    Mwenye picha hapa chini ni rafiki ambaye nliwahi kukaa nae mwanza mitaa ya Police kirumba akiwa mfnyakazi wa KIVULINI, mitaa ya MLANGO MMOJA, baadae alihamia DAR mpk Leo sijuii halipo, naomba kujua alipo, kama kuna mtu anamfaham anisaidie kumpata, amayemfaham naomba aniPM...au kama yupoo umuu...
  3. P

    Shule za English medium za serikali

    Kwa wenye kumbukumbu nzuri, mtakumbuka kipindi Rais akitanganza azimio la kuondoa ada kwa shule za msingi za umma. Rais alitaja shule sita kuwa shule hizi zitaendelea na utaratibu wa ada na kati ya shule zilizotajwa ni Bunge(Dar), Mlimani (Dar) na Olimpio (Dar). Kwa utafiti wangu mdogo...
  4. P

    Tujikumbushe kauli za viongozi wetu

    Katika uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, aliposimama kutoa neno, nikakumbuka kilikuwa kipindi chake ambapo Waziri wake Mramba aliwahi kutoa kauli tata sana: "Mtakula hata nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe" Basil Pesambili Mramba Waziri wa fedha 2001-2005...
  5. P

    Bodi ya Mikopo (HESLB) wanasemaje kuhusu huu utata?

    Kuna sintofahamu ( taharuki) kwa wanafunzi wanaondelea (continues) baada ya Bodi ya Mikopo kupunguza kiasi cha malipo au mikopo katika ada na huduma nyinginezo ukiacha ile chakula na malazi. Mfano mdogo wangu alikuwa analipiwa 530,000 kwa mwaka lakini cha kushangaza amekuta halipiwii kitu...
  6. P

    Hawa wanawake wana ndoa?

    Kati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili. - Samia Suluhu - Anne Makinda - Joyce Ndalichako - Anna Tibaijuka - Jenista Mhagama - Asha Rose Migiro - Esther Bulaya - Ummy Mwalimu - Tulia Atkson - Maua Daftari - Julian Shonza - Catherine Magige - Getrude...
  7. P

    TANESCO mnatuumiza, haya makato ya nchi gani?

    Something is wrong. Niko kisiwani Goziba ambako TANESCO wameanzisha mradi wa umeme wa REA kwa kutumia SOLAR PANEL (umeme wa jua). Katika hali ya kushangaza na kutia simanzi na kusikitisha sana, umeme wa huku unit moja ni Tshs 3,500/=, sijakosea ni Tsh 3,500/= Hoja waliyonayo TANESCO ni kuwa...
  8. P

    Maisha ya shule, jambo na vijimambo vyake

    Nikki wa Pili anasema ni rahisi watu kuwatetea wanafunzi kuliko waalimu wanapofanya kosa, lakini kuishi na wanafunzi kunahitaji moyo. Ni tukio gani uliwahi kulifanya enzi za shule ambalo leo hii unaliona halikuwa sahihi? Karibu kwenye Kumbukumbu
  9. P

    Natamanii kujua Deni kufika ukomo inamanisha nini katika uchumi kwa nchi husika..?

    Nimekuwa nikisikia waziri Mpango akidai deni la Taifa ambalo limefka Trillion 60+ bado ni "himilivu" akimaanisha bado tunakopesheka..!! WBG (World Bank Group) wanadai deni letu linakaribia Ukomo..?? Natamanii kujua Deni kufika ukomo 1. Umaanisha nini katika uchumi kwa nchi husika..? 2. Nini...
  10. P

    Unashabikia adhabu ya viboko au uko upande gani?

    Sheria inayoruhusu adhabu ya viboko mashulen ina mkanganyiko katika utekelezaji wake ambao binafsi naamini ndo utata unapoanziaa.... 1. Sheria inasema wazi kuwa itolewe kwa kosa kubwa la utovu wa nidhamu kadili itakavyoonekana Kosa kubwa ni lipi....?? Kuchoma bweni..? Kumfyoza mwalimu...? Au...
  11. P

    Nini kinakwamisha utekelezaji wa miradi ujenzi wa soko na stendi ya Nyegezi Mwanza?

    Imekuwepo Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na kutoeleweka au kuchelewa kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya Jiji la Mwanza ambayo ni Ujenzi wa Soko na Stend ya Mabasi-Nyegezi Utiaji wa sahani ulikuwa june 2019 na watu kupewa notisi ya kuhama kupisha miradi iyoo...
  12. P

    Huu utaratibu ni sahihi kumpata mhusika halisi?

    Mara nyingi uwa ninaona kwenye vyombo vya habari pia katikaa kada mbalimbali za upelelezi hasa polisi na TAKUKURU... Namaanisha utaratibu wa kura za siri, mfano leo nimeona TABORA Jeshi linaendesha kile wanachokiita "Fukunyua" watu wanapiga kura za siri za kumtaja mtu fulani kuwa anahusika na...
  13. P

    Bachelor of science in nursing vs Lab Technology

    Wakuu mdogo wangu kachaguliwa hizo DEGREE program Nursing ni Udom na Bugando na Lab technology ni KCMC anataman kujua asome hipi na kwanini... Ufahulu wake alikuwa na Division 1:9 Phy D, Chemi B, Bios C BAM D Base ikiwa ni.... 1. Soko la ajira 2. Kujiajiri 3. Competence base Na je kwa ufahulu...
  14. P

    Nini hasa maana ya neno MATAGA?

    This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo. Tunaposema "Make Tanzania Great Again" tunamaanisha ukweli kwamba labda Tanzania ilishawahii kuwa...
  15. P

    Udhamini wa Vodacom Ligi Kuu na masharti ya mkataba wa mdhamini

    Usiku wa Jana TFF na VODACOM wameingia mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa Ligi kuu ya Mpira Tanzania, wenye thamani ya Bilioni 9 (bilioni 3 kila mwaka) hii ikijumuisha uendeshaji wa Ligi, zawadi kwa Washindi na Mengineyo. Kwa mujibu wa utaratibu MDHAMINI uwa nembo yake inakaa either kifuani...
  16. P

    Uzi wa kutuma picha ya vitu vya zamani, vilivyotumika Tanzania kuanzia miaka 1970s

    Wanajamvi leo nimeona picha ya kiberiti cha zaman kule kijijini tulikiita "ekibiriti kwe kyoma" yaani kiberiti cha chuma, nakumbuka muda uo umeshikwa tumbo la kuhara alafu umuamushe bi mkubwa afu awashe kiberiti ndo atawasha wapi...hapo hasiraa haaaa ni kula makofii tuu.... Tupia picha, taja...
  17. P

    Ushauri: Naomba ushauri wa chaguo muhimu baada ya mdogo wangu kuchaguliwa kozi mbili

    Wanajamvi naomba ushauri kidogo, mdogo wangu kachaguliwa Course zifuatazo ameniomba ushaurii ipii "aconfirm" Course ya Kwanza..... Bachelor of Science in Agricultural and natural resources economics and business Ya pili ni.... Bachelor degree in Shipping and Logistics management..... Mwenye...
  18. P

    DPP awafutia kesi ya uhujumu uchumi askari Polisi nane waliokuwa wakisindikiza dhahabu Mwanza - Geita

    Sina uhakika kama hii ni impact ya ziara ya Mkulu Kunako Gereza la BUTIMBA-MWANZA. Watuhumiwa Wenye Kesi mbalimbali zaidi ya 70 wamefutiwa kesi zao, baada ya kuonekana hazina Mashiko, wengi wao wako hapo gerezani Zaidi ya Miaka mitano ----- Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DDP) Biswalo Mganga...
  19. P

    Nilichojifunza kuhusu ziara ya rais Magufuli gerezani Butimba

    Nimefatilia kwa karibu sana Ziara ile ya Mh Rais kule Butimba, Kiukweli nimepata kujifunza mengi ila makubwa ni yafuatayo:- 1. Kila mtu ni Mfungwa mtarajiwa, Kuna kubambikiwa kesi na kushurutishwa bila kufuata sheria, yaan inafika wakati anakwambia "Kama ulinisomesha utatoka gerezani ila kama...
  20. P

    Tunakoelekeaa watu wa namna hii tunawahitajii Tanzania

    Watu wenye Fikra ngumu na kutokuhofia chochote
Back
Top Bottom