Search results

  1. Sumai M H

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Subaru walikuzinguaga nn mkuu? [emoji1787] Naona ww ni number one hater[emoji23][emoji1430]
  2. Sumai M H

    Ushauri kuhusu ununuzi wa magari

    Subaru zenye matatizo ya headgasket ni zenye engine ya EJ25 pekee. Ulaji wa mafuta ni wa kawaida kwa ambazo hazina turbo.
  3. Sumai M H

    Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    Yenye turbo obviously consumption ya mafuta ipo juu. Turbo inatoa boost kubwa kwny power ya engine kwa kulazimisha air iliyo compressed kuingia kwny cylinders, hvy mafuta mengi pia yanatumika.
  4. Sumai M H

    Huawei Mate 8 inahitajika

    Niaje mdau, ushapata hyo Mate 8?
  5. Sumai M H

    Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

    Kwa DSM walikuwa wanafundisha Dance Art Fusion , Village Walk, mkabala na Sea cliff hotel.
  6. Sumai M H

    Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

    Hapana mdau haijalishi mtu gan anacheza kwa sasa ila ile ilianzishwa na watawaliwa wa Kibrazil kupinga utawala wa Wareno. Ili kuficha style zao kupigana ndo maana wakaifanya kama dance ila ina mapigo ya hatari kama martial arts nyngn
  7. Sumai M H

    Chumba UDSM main campass kwa wasichana kinahitajika

    Mabibo fresh 2 mbona, kama anajisoma muache aende Bibo mbona girls wengi wa Bibo wanapass frxh 2.
  8. Sumai M H

    Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

    Capoera hamna bongo master halafu unatakiwa uanze ukiwa na umri mdogo flexibility inahitajika sana kujifunza dance of death.
Back
Top Bottom