Search results

  1. N

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Wanigeria kama wachagga tu hapa bongo, hawachagui cha kufanya, ili mradi december akaonyeshe kitu kwao. Kukaba, kuiba, ujambazi, kitmoto, nyama choma nk. Chochote kwao fursa kiwe halali au haram
  2. N

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Unajua maana ya Warmonger? Tuanzie hapo kwanza
  3. N

    Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Si kweli, usipotoshe umma. Hakuna ajira za design hizo enzi hizi. Kama mtu hujachaguliwa jua huqualify. Kumbuka watu wasio na ajira ni malaki hamuwezi wote kufanya jazi TRA. So ikitokea bahati mbaya hujakidhi vigezo jua kuna ambao wamekidhi.
  4. N

    Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Halafu ndo summary yenyewe yaan
  5. N

    Mchungaji Mashimba: Waziri Simbachawene kiukweli Kanisa la Tanzania lina hali ngumu sana, Wachungaji wanaendekeza matumbo yao!

    Hapana uyahudi ni dini. Kabila ni yake makabila kumi na mbili ya watoto wa Yakub ambao almost wote dini yao ni uyahudi. Na kumbuka hao wayahudi wanamjua Musa na Yesu hawamtambui kabisa
  6. N

    Mbunge wa kawe; Mimi hunitishi kitu kwa sababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu

    Hiyo confidence kuna pahala imejikita sio bure. Anajua anachokifanya
  7. N

    Trapped to a married man

    We kweli una moyo wa kiume na maamuzi ya kiume na declaration za kiume. Why uteseke wakati hizi ishu zipo possible tena enzi na enzi. Sidhani kama you are the first one. Big up
  8. N

    Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

    Hii comment niliisubiri sana. Hitler kweli aliwaua wayahaudi wa ulaya na si wayahudi tu. Lakini pia si iwa idadi inayozungumzwa, Wayahudi wamejaliwa sana kwenye propaganda huenda kuna hidden agenda ya wao kudanganya figure. Walikuwa na maana yao ambayo huenda sisi hatuijui.
  9. N

    Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

    Kwenye umalaya nakataa
  10. N

    #COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Mwamini presidaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Topic gani ilikusumbua sana O-level au A-level

    Nilikuwa na uwezo wa kufanya maswali yote ya organic kwa uhakika wake. Na kama swali linakosewa kidogo najua wamekosea. Shida ni Biology kwenye mechanism za metabolism mbalimbali chemical na mechanical. Physics mechanics haikiwa poa aisee. Nikaopt topics za paper two na practical. Final Phys B...
  12. N

    DINOSAURS: Tumshukuru Mungu Kwa Kuwaondosha Mapema Viumbe Hawa Duniani

    Haiwezi kuwa nadharia, refer mjusi wa Lindi. Hivi vitu vilikiwepo kuna evidence nyingi za fossils. Ila hizo animation ndo nadharia wanajaribu kudepict angalau kutoa ujumbe kirahisi. Mfano jurassic park. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    What are some crazy interesting conspiracy theories?

    Conspiracy vs myth Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    Soma hizi takwimu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom