Search results

  1. Mwana CCM.

    Mfungo na kupanda kwa bei za vyakula!!

    Na mimi nina mtazamo kama huo, haiwezekani watu wakiwa wanakula kama kawaida hakuna shortage ya vyakula lakini wakifunga ndo magunia ya vyakula yanatokomea masokoni
  2. Mwana CCM.

    Mfungo na kupanda kwa bei za vyakula!!

    Hii hata mimi nimeishuhudia sana, ila baada ya utafiti nikagundua kwamba kipindi cha mfungo watu wengu ndo wanakula zaidi maana wanachokifanya wanabadirisha ratiba toka asubuhi hawali wanakula jioni sana "kufuturu" ambayo mtu anaweza akala kiasi cha kuvimbiwa na anadamka mida mibaya kupiga tena...
  3. Mwana CCM.

    Serikali inalipiza kisasi?

    Ni kwamba mfuate mbunge wako mpe hiyo shida yako si ulujua CHADEMA watakusaidia?
  4. Mwana CCM.

    Uthibitisho wa hoja Bungeni?

    Ikisha thibitishwa basi inawekwa katika kumbukumbu, lakini yoote hiyo hufanywa kwasababu ya kupunguza uropokaji wa hawa wabunge wachanga katika siasa
  5. Mwana CCM.

    Jumuiya ya Waswahili Kariakoo wampa onyo Makinda na wenzake

    Anaweza akathibitisha maana pale kariakoo kuna watu wanafanya mambo hovyohovyo bila utaratibu maalum
  6. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Mimi nilimaanisha waalimu wa serikali. Nina data za baadhi ya waalimu, wahasibu, na madaktari. Tatizo lenu nyie ndo watu mnaowadharau waalimu kwamba hali yao ni ngumu huku mkiwa hamna data kamili. Mimi ninawafahamu wahasibu wa halmashauri za wilaya ambao maisha yao ni magumu kuliko baadhi ya...
  7. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Naomba uthibitishe kwamba mimi natumia makalio kufikiri, usipofanya hivyo na usipopigwa Ban naachana rasmi na JF.
  8. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Nia ya Zitto Kabwe siyo mbaya, ninapomuona ni mtoto ni pale anapotaka pesa zake ziwekwe kwenye account ya KDI ndipo anakosea kwani kwani kwa kufanya hivyo analiongezea majukumu bunge, kwanini asichukue hiyo pesa na aipeleke yeye? unapomuomba mtu akusaidie kazi fulani tegemea yes or no maana hilo...
  9. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Usikurupuke best, mwalimu unayemzungumzia ni yupi? hivi unajua kuna walimu wenye mishahara mikubwa kuliko Wahasibu na Madaktari? be specific man
  10. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Tatizo unachangia kitu usichojua, Katika M90, Milion45 ni mkopo na Milioni45 ni bure zitalipwa na Serikali, fanya uchunguzi usiwe shabiki nazungumza kitu ninachokifahamu.
  11. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Sijakataa hilo, kinachotakiwa ni hoja ndugu yangu. hata wewe jichunguze hapa ni jukwaa la great thinkers kwa hii comment yako jipime kama unastahili kuwepo humu jamvini, maana hutoi hoja umekaa kishabiki zaidi
  12. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/145029-nccr-nao-wakataa-posho-za-viako-bungeni.html
  13. Mwana CCM.

    NCCR nao wakataa posho za vikao Bungeni

    Kwa hili natofautiana na Chadema na NCCR-Mageuzi, hapa wanatafuta umaarufu kwa bei chee, hivi mnafahamu kiasi wanachokigomea? posho ya kikao kwa taarifa yenu ni Tshs70,000 kwa siku, kwanini wasigomee Milioni90 za magari? Tusishabikie upuuzi NCCR sasa wanaonyesha hawana mwelekeo hiyo hoja ya...
  14. Mwana CCM.

    Mwandishi Mwanahalisi, kuuawa?

    Mimi sipo vizuri sana katika historia, who is Ndugu Stanslaus Katabaro?
  15. Mwana CCM.

    Mwandishi Mwanahalisi, kuuawa?

    Hii ni hatari, hebu ngoja tusikilizie kama kuna ukweli wowote, kwasababu sasa hivi namba husajiriwa obvious wahusika watakamatwa haraka sana, nchi yetu chini ya Utawala wa Chama cha Mapinduzi hatukuzoea kuuana
  16. Mwana CCM.

    Lowassa: Wakimwaga mboga namwaga ugali

    Mimi nadhani Lowassa kama Mwanasiasa mkongwe alitakiwa a-step down tu, kwasababu system haimtaki tena kwasababu kaichafua. sasa akimwaga ugali yeye itamsaidia nini? afanye kitu ambacho kitamfanya arudishe heshma yake na siyo kuwa na "moyo wa tukose wote"
  17. Mwana CCM.

    Lukuvi atumia vifo vya wanafunzi kwa maslahi binafsi. imethibitika

    Kumbuka Tanzania Daima limewahi kumtaka radhi mwakyembe kwa kumzushia habari za uongo. mimi napita tuu hapa
  18. Mwana CCM.

    Wanyama 130 wakiwemo twiga watoroshwa KIA kwenda Qatar

    Nimeisoma hiyo habaari mda si mrefu imenisiskitisha sana, hivi hii nchi mbona inashambuliwa kila kona? inakuwaje ndege inapakia mzigo mkubwa namna hiyo katika mazingira ya udhalula? alafu mbaya zaidi uchunguzi unafanyika kwa mda mrefu bila kuwajibishwa mtu?
  19. Mwana CCM.

    Makazi yaliyopo kunduchi Jeshini!!

    Hii thread imenigusa sana, penye red "huenda Jeshi limejipanga kutoa taarifa ya vifo na majeruhi na serikali itasafirisha miili ya marehemu bure kwenda kuzika popote pale Tanzania"
Back
Top Bottom