Search results

  1. F

    NAUZA ASALI YA NYUKI WADOGO.

    Habari zenu? Nauza asali ya nyuki wadogo kutoka Moshi Kilimanjaro. Haijachanganywa na kitu chochote. Inatibu maradhi mengi kama mmengenyo wa chakula (digestion) kuondoa mafuta mwilini, kuondoa muwasho wa koo, kifua hasa kwa watoto, mafua, kikohozi, mtoto jicho katika macho na mengine mengi. Kwa...
  2. F

    Je, nimuache huyu msichana?

    Habari ndugu zangu, Ninakuja kwenu nikiwa na tatizo. Naomba mwenye ushauri wa kujenga anisaidie. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Nina msichana ambaye ninampenda sana naye sina shaka kuwa ananipenda sana. Toka nikiwa sina kazi, huyu msichana alikuwa bega kwa bega na mimi. Alijitoa sana...
  3. F

    Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

    Salamu zenu wakubwa kwa wadogo? Ishu iko ivi, nina rafiki yangu wa karibu ambaye ameniomba ushauri. Mimi binafsi sijui nimshauri kipi kizuri. Naileta mbele yenu, wana JamiiForum hasa wanaume tumsaidie huyu ndugu yetu aokoe jhazi. Mada iko kama ifuatavyo; Ni mwanaume mwenye miaka 27. Bado...
  4. F

    Sijui nitumie njia gani anielewe?

    Habari zenu wanajamii forum wenzangu. Natumaini amjambo na hizi siku kuu zinawaendea vyema. Kwa upande wangu siku kuu zimekaa vibaya mno. Nilileta mada ya kuachwa na mpenzi ambaye bado anaendelea kuwa pamoja nami kwa kila hali. Shida yangu ni kwamba, nimemuomba sana msamaha huyu bwana...
  5. F

    Bado ananipenda kweli?

    Wasalaam wanajamii forum wote. Leo ni mara yangu ya kwanza kuleta mada hapa na ninakiri kuwa nilikuwa msomaji tu wa kawaida. Nina tatizo kubwa linalonisumbua kwa sasa. Mimi ni mwanamke. Nilikuwa na mpenzi tuliedumu nae mwaka mmoja na nusu, mimi nikimpenda kweli ila sijui kwa mwenzangu ingawa...
Back
Top Bottom