Search results

  1. C

    Mhe. Tundu Lissu kuhamishiwa India kwa matibabu zaidi

    Leo naamini maisha ya watu wengi yanapotea kwa kutofuata utaratibu ulio sahihi, tuache siasa kwenye ugonjwa muachie serikali itekeleze wajibu wake kwa kumpatia Mh Lissu matibabu sahihi
  2. C

    Lissu awasili Nairobi salama lakini Ubalozi wa Tanzania haujatoa ushirikiano

    Umoja wa Ulaya ni washenzi wapo kwa ajili ya maslai yao mbona hawakutoa tamko juu ya dhahabu, almasi na tanzanite ilivyoibiwa ? Je kutokana na kukosekana huduma bora za afya ni watanzania wangapi wamekufa? Bilioni tulioibiwa zingeweza kuokoa maisha ya wengi waliokufa kwa kukosa huduma. Hao ni...
  3. C

    Namtafuta Mwalimu Mtefu wa Meta Secondary, Mbeya

    Duuh jamani kuna kijana anaitwa Nasibu Mdemu yeye alikuwa form two akichezea timu ya shule ya football namba 8 mwaka 1996/7 amefariki leo kipawa wanaoweza kwenda wawasiliane no. 0713211979 Rajabu. Huyo alikuwa anaishi hostel, tunaomba mtuwakilishe sisi tulio nje ya nchi.
  4. C

    Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

    Hapendwi mtu inapendwa pesa aongeze dau apewe na uenyekiti vya bure vimeisha mangi aise!!!
  5. C

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Mbona huyo jamaa alishafariki mara baada ya kukatwa Lowassa akiwa CCM!!!
  6. C

    Elections 2015 Rais Jakaya Kiwete ashitakiwa Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    ICC sio solution ya matatizo ya ndani ya nchi, leo Kenya walichinjana baadae wakina Uhuru walipelekwa ICC lkn leo wamerudi wanaendelea na kazi. Vp wale waliokufa au kuumia kutokana na machafuko hayo nini wamepata au familia zao wamepata nini? Tambua nchi iliamua kujiunga kwa hiyari hivyo hivyo...
  7. C

    Jenerali Ulimwengu na Raia Mwema; Niliwaheshimu sana na kununua Raia Mwema

    Hivi hujui mmiliki wa CDM ni Mtei? Hujui kwanini alimsakama zito alipotaka kugombewa uenyekiti kwa kuhofia mkwe wake Mbowe aliyemuoa Dr Lilian Mtei asing'olewe? Hiki ni chama cha familia Hakuna ukombozi zaidi ya kuineemesha familia ya Mtei!
  8. C

    UKAWA Simiyu kimenuka: Mama Regina Lowassa atoroshewa mlango wa nyuma

    Duuh hii komesha ipo siku wataelewa
  9. C

    Kizazaa cha fedha za Kampeni Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    BREAK NEWS!!!!!!!!!! Taarifa tulizopata toka katika kikao cha jana usiku zinasema kuwa wale wote walioahidi kumchangia katika campaign yake ndg Lowasa wameanzisha mgomo baridi wakitumia kumzungusha akiwemo Rostam Azizi na Nazir Karamagi. Hata hivyo uchunguzi unaonyesha kuwa wengi wa wafadhiri...
  10. C

    Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa CCM au ni mtumishi wa umma

    Tatizo lako Msambila hutumii ajili ndani ya utumishi wa umma unaruhusiwa kuongeza mkataba iwapo muajili wako ataona umuhimu wako pia Lowasa hawezi katazwa kutembelea kokote iwapo msafara wake hautazidi watu 5 yeye anaenda na kundi kubwa hii inapelekea kazi kusimama, aidha, kutokana nafasi...
  11. C

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Sheikh yahaya Mdogo alitabiri mgombea mzee atafariki je bado hamuamini?
  12. C

    Msimamo: Nitasimama na Majemedari Ninaowajua, Tuliopigana Vita Pamoja Nao...

    Mwanakijiji amewahi kuweka hoja kuwa kama lengo ni kutoa CCM tu bila kuwa na kujua nini mtafanya baada ya kuitoa alisema ni heri kuendelea kuwa CCM, leo hii imejidhirisha kuwa lengo la upinzani ni kuitoa CCM kwa njia zozote as if upinzani ni malaika au Mungu baada ya kuitoa CCM itashusha mana na...
  13. C

    Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    Tuachane na siasa za ghiriba hii ni nchi yetu sote, amesema lini?
  14. C

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Tumekuwa wavumilivu kwa muda mrefu Lowassa chama kimemsamehee mpenzi hatimaye anahamasisha uasi wa ajabu CCM kamwe hataahinda hii si mara ya kuanzia tunakumbuka 1995 mrema alipotusumbua hatimaye tukashinda, nami tangaza rasmi kupambana na huyu mtu hadi kitaeleweka!!!!
  15. C

    CCM na usingizi wa pono kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    CCM ni chama cha ukombozi ambacho hakiwezi kusumbuka na saccos, inazijua siasa za nchi hii na pia wananchi wanakijua chama chao ndio maana wametulia wanajua siku ya kuwamaliza kwenye sanduku la kura. Ukitaka kujua CCM imeanza kazi pale atakapotangazwa mteule wa nafasi ya uraisi ndio...
  16. C

    Gavana: Ununuzi wa vifaa vya BVR,mitambo ya TANESCO na mabehewa ya treni sababu za kushuka shilingi

    Kwa nini watanzania tunakuwa watumwa wa siasa? tunashindwa kuelewa concept ndogo kama hii tunaingiza siasa? nchi ilikuwa na reserve ya dollar mahitaji makubwa ya kitaifa yamekuja je tusinunue BVR machine, Mitambo ya umeme ya kwetu,Meli za kivita kulinda nchi yetu? lazima dollar zipuingue na hii...
  17. C

    Sitta ajiundia mtandao kumpigia kura fake

    sio kila anayepiga kura anaandika jina nami nimepiga kura baada ya kusoma hapa lkn sikuandika chochote km wanavyolazimisha team lowasa!!
  18. C

    Hoja ya takwimu isitutoe kwenye mchakato wa Katiba...

    Ukweli umedhihirika kuwa tume ilitengeneza matokeo ili kukidhi hoja ya serikali tatu ndio Maana hata rasimu imeandikwa kufuata serikali tatu . Hatuwezi kukubali uongo huu wa tume hata mtoto wa darasa la Sita hawezi kukubaliana na takwimu hizi .
  19. C

    Wazanzibari waishio Tanganyika wapinga kugawanywa

    Napendekeza Serikali ya Tanzania Bara itoe tamko la kuwaomba wapemba na waunguja warudi kwao kwanza kwa muda wa mwezi mmoja tu ili kujua idadi kamili kisha wapewe nafasi ya kupiga kura kuamua kujiunga na Tanzania Bara kama nchi moja au la? matokeo ya kura ndio yatayotumika kuamua kuhusu muungano.
Back
Top Bottom