Search results

  1. JNampanyula

    Nini faida ya kuajiriwa na Serikalini

    Wanashindwa kuupata lakini wengi lengo lao ni hilo na hata lengo la mtoa mada ni kuwa kufanyakazi serikalini hakuna faida yoyote ila uwe kwenye sekta binafsi though amepost kwa mtindo kuuliza swali
  2. JNampanyula

    Nini faida ya kuajiriwa na Serikalini

    Faida wanaipata wale wanaopewa huduma, kwake yeye ni wito na ameukubali wito huu ndio maana yupo hapo. Wale wanaohitaji utajiri wataenda sekta binafsi na lakini ili wafanikiwe ni lazima wapate huduma kwa mfanyakz wa serikali
  3. JNampanyula

    Waziri Lugola unafahamu hili kuhusu tochi?

    Hizi tochi ni shiida, juzi nimesimamishwa Mkambarani Morogoro naonyeshwa gari yangu kwenye simu nikiwa nimeover speed lakini hakuna hata road sign inayoonyesha hiyo speed limit ambayo nimeover na nakumbuka safari yangu yote nilihakikisha nadrive kwa kufata sheria zote za barabarani. Nikabishana...
  4. JNampanyula

    Anayejua Ofisi za Bodi ya korosho Dar, msaada

    Ukitoka ofisi ya posta mpya jengo linalofuata ikiwa unatokea maktaba unaenda askari mornament. Mlango wa kuingilia upo kwenye angle ya hilo jengo kama unataka kukunja kushoto uende Imalaseko. Hope umenielewa
  5. JNampanyula

    Kwa wale walio na vipara, nini dalili za kuwa kipara...

    Asilimia kubwa ya wenye sharubu ni lazima wawe na kipara baadaye
  6. JNampanyula

    MSAADA: KWA WATUMIAJI WA LUKU

    Nadhani ataondolewa kutoka kwenye kundi la watumiaji wadogo na kuwekwa kwa watumiaji wakubwa ambao bei per unit itakuwa kubwa kuliko kwenye kundi la watumiaji wadogo
  7. JNampanyula

    Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini

    Mara nyingi wachangiaji wenye uelewa mdogo badala ya kujibu hoja huwa wanakimbilia kwenye matusi, ndiyo aina ya mtu kama wewe. Mimi sihitaji kujua chini ya Wizara hiyo kuna Taasisi ngapi na ina wakuu gani, na kanda ngp hilo sio muhimu kwangu, ninachotaka kujua huyu mteule kama ni Kamishina wa...
  8. JNampanyula

    Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini

    TRA na BOT ni mashirika yanayojitegemea ambayo yapo chini ya Wizara ya fedha na sio Idara ndani ya Wizara, vinginevyo uniambie huyu kamishna alieteuliwa ataendesha shirika gani ambalo lipo chini ya Wizara ya Nishati na madini na kama kwenye barua hiyo wangetaja shirika atakaliendesha...
  9. JNampanyula

    Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini

    Hivi nafasi ya Kamishna wa Madini ni presidential appoitment? Sio Idara tu ndani ya Wizara ya madini? Au kuna baadhi ya Idara nafasi zake huwa ni za kuteuliwa na Rais? Kama ni hivyo ana kazi nyingi sana zingine angesaidiwa
  10. JNampanyula

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    Mzee wa vichwa Patrick Kluevert
  11. JNampanyula

    Meli kubwa ya angani (Airship) kusafirisha nje (export) Gesi kutokea Tanzania

    Kwa hivi ilivyo labda tuiite Nyambizi ya angani ( Airsubmarine)
  12. JNampanyula

    Nini kinaweza kufanywa kwa simu za android zaidi ya kutembelea mitandao ya kijamii?

    1. Kutumia dictionery ppt nilipo 2. Scanning doc na send fax 3. Kuhifadhi doc, picha nk (recoverable when lost) 4. Kutrack watoto wangu wakiwa Mbali na mimi 5. Kuangalia live tv news online 6. Kusoma news mbalimbali kama bbc, cnn nk 7. Kufahamu kama bidhaa ni halisi Kupitis bar...
  13. JNampanyula

    Wataaram wa MAGARI naomba msaada TRA wamenichanganya hapa

    Sasa umechanganyikiwa na nini na wkt calculation zote zipo hapo, ukijumlisha kodi zote ulizowekewa unatakiwa ulipe kodi usd elfu 20 na kidogo sawa na 40m+ kwa thamani ya CIF ya gari yako.
  14. JNampanyula

    Hivi huyu alikusudia nini?

    Hapo ni show room, zimewekwa kwa ajili ya maonyesho tu, ni wazo tu
  15. JNampanyula

    Naomba kujua tofauti ya Hotel,Hostel,Motel,Guest House,Rest House,Inn,Resort,Lodge...

    Na kwa kuongezea ni lazima pia iwe na petrol station pembebi
  16. JNampanyula

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mkononi wakipeleka panga huwa alirudi
Back
Top Bottom