Search results

  1. N

    Mechi ya Tanzania vs Egypt

    Wadau naomba kujua mechi kati ya Tanzania na Egypt ni chanel na decoder gani watakayorusha LIVE?
  2. N

    TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    tv yeyote nch 32, bei ya chini naweza pata kwa sh ngap?
  3. N

    TV4Sale Flat screen for sale

    Nauza Tv Flatscreen aina ya SINGSUNG, nch 25 ninapatikana Mbeya kwa mawasiliano 0717248771,,, Bei 250,000 Tsh
  4. N

    Mzimu wa "Bunge Live" wamwandama Nape

    alafu wapiga kura wa Kitwanga wanakuja na sababu eti video inayoonyesha Kitwanga amelewa emetengenezwa na studio za bunge,,, na kulitaka bunge limuombe msamaha mbunge wao,,, wangekuja na matamko ya suluhisho wanataka "bunge live" ili kuzuia kutengenezewa video za kuwazalilisha wabunge wengine.
  5. N

    CHADEMA: Rais Magufuli mfuate Lowassa akushauri juu ya tatizo la sukari

    Chadema wamemshauri Magufuli amfuate Lowassa aombe ushauri kuhusu suluhisho ya uhaba wa sukari,,, sasa wewe unataka wawasaidiaje?
  6. N

    Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

    IN LOWASSA WE TRUST: lini atakuja Mbeya? tunamsubili huku
  7. N

    CHADEMA: Rais Magufuli mfuate Lowassa akushauri juu ya tatizo la sukari

    kwani wafanyabiashara wanavyomchangia waliwaita waandishi wa habari na kumuuliza anyoshe kidole kama anahitaji msaada,,,? fikiri kwa kutumia akili yako siyo ya mwenzako.
  8. N

    Olivia Aika Sanare: WanaCCM wenzangu mnayaona haya ya wapinzani? Wanakimbia sisi tunatambaa

    CCM ni sikio la kufa,,, waache tu waendelee kupiga makofi walevi wao wakijibu maswali bungen
  9. N

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Tatizo ni mfumo au tatizo ni serikali ya awamu ya nne?,,, na huyu Kitwanga ni jipu lilosababishwa na serikali ya awamu ya ngapi? kwa staili tutashindia kutumbua majipu hadi 2020
Back
Top Bottom