Search results

  1. JaphetJacob

    Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

    Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu. Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo. Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri...
  2. JaphetJacob

    Naomba maelekezo juu ya suala la fomu TaESA

    https://jobs.kazi.go.tz/login Tumia hii link yao mpya
  3. JaphetJacob

    Clouds wamefanya mapinduzi na kipindi cha habari cha “sentro”

    Nafikiri Clouds wamekuja na ubunifu mkubwa sana katika taarifa za siku za habari, Pale Babra Hassan, kule Masoud Kipanya\KP na Babie Kabaya Wanafanya habari isionekane serious na kupunguza zile “kumradhi” na mikwamokwamo Zaidi kuna entertainment za hapa na pale Kongole kwao, mawazo na akili...
  4. JaphetJacob

    Msaada na fursa katika hili

    Amen[emoji1431]
  5. JaphetJacob

    Msaada na fursa katika hili

    Asante sana[emoji1431]
  6. JaphetJacob

    Msaada na fursa katika hili

    Kuhusu ada ya masomo nikiwa undergraduate nilikua namake kutafuta fee maana nilikua na mkopo wa serikali na volunteer kadhaa zikaniboost, Nilipopata admission nilifight idarani kupata research project hivyo research funds ikawa covered (ambayo ni nyingi hela yake) kwa njia hiyo, Nilikua na...
  7. JaphetJacob

    Msaada na fursa katika hili

    KUHUSU KAZI ZA ACADEMICIAN (Tutorial Assistant na Ass. Lecturer) Mambo yamebadilika kidogo kwa public universities wanaajiri kwa ule mfumo wa TRANSFER VACANCIES, maana yake inatakiwa uwe tayari mtumishi wa umma somewhere, Kwa private universities nyingi zilifungiwa zilizokua zinatoa chemistry...
  8. JaphetJacob

    Msaada na fursa katika hili

    Nimezunguka sana maofisini kutafuta kazi lakini sijapata, mwenye fursa yoyote iwe ya kilimo, ufugaji, ofisi, biashara au chochote anisaidie; Below are details: Umri: Miaka 26 Elimu: B. Sc Chemistry and Biology [emoji432] Masters of Science in Chemistry Makazi: Kimara, Dar es Salaam...
  9. JaphetJacob

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    Umekwama wapi?!
  10. JaphetJacob

    TAESA yatoa fursa kujisajili upya

    TaESA wanapatikana kwenye no hii 0735 221 022, wapigie muda wa kazi wanapokea na wanakutatulia changamoto uliyonayo Mimi nimewapigia mara kibao wamenisaidia
  11. JaphetJacob

    Nimeachwa, naumia sana. Nifanyaje?

    Jamani nimeachwa na mpenzi wangu (girlfriend) ni takriban miezi miwili imepita. Naumia sana maana nilijitahidi kumtunza lakini ameniacha. Nina maumivu makali sana mpaka shughuli nyingine sifanyi kwa ufanisi naombeni ushauri, ni kama nimelose hope. Napmba ushauri.
  12. JaphetJacob

    Pata kitabu 'Ndoto mpaka Hatima" cha Rev. Dr. Eliona Kimaro

    "Kutoka Ndoto mpaka Hatima" Ni kitabu chenye maudhui ya kipekee kinachozungumzia maisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo familia, uchumi, malezi, mitazamo ya maisha na shuhuda mbali za watu waliofanikiwa Kinapatikana kwa shilingi 20,000 (Elfu ishirini tu), popote ulipo ndani na nje ya Tanzania...
  13. JaphetJacob

    Kitabu cha Mch. Dr. Eliona Kimaro

    Asante sana karibu
  14. JaphetJacob

    Kitabu cha Mch. Dr. Eliona Kimaro

    Karibu sana Boss 0757595433
  15. JaphetJacob

    Kitabu cha Mch. Dr. Eliona Kimaro

    "Kutoka Ndoto mpaka Hatima" Ni kitabu chenye maudhui ya kipekee kinachozungumzia maisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo familia, uchumi, malezi, mitazamo ya maisha na shuhuda mbali za watu waliofanikiwa Kinapatikana kwa shilingi 20,000 (Elfu ishirini tu), popote ulipo ndani na nje ya...
  16. JaphetJacob

    Wale wote waliokatishwa ndoto zao na TCU pitia hapa.

    Kama kweli wana nia ya kuwa madaktari kuokoa maisha ya watu bhasi wafight kuifikia ndoto Lakini kama wanatafuta hela namaanisha hela MD utasubiri kuzifikia baada ya kumaliza Kuna course zina pesa wasikariri otherwise hawatafuti hela ndo waende MD
Back
Top Bottom