Search results

  1. K

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    wimbo wa TANU..wewe ndiyo ngao yetu..mwenyekiti mwalimu nyerere.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Nenda pharmacy kubwa kuna dawa inaitwa Anusol inaweza kuwa msaada.
  3. K

    Msaada wa Maandishi ya kijapani.

    Radio zina option ya kubadili lugha hasa zile ambazo ni original kwa model ya gari. Mafundi watakuzingua tu. Tafuta solution google na youtube. Nilipata same problem nikasolve kwa mtandao.
  4. K

    Kitu gani kinachosababisha gari kuungua kwa kasi mpaka abiria kushindwa kufungua mlango kukimbia?

    Kwa gari dogo, tumia ncha mbili za headrest kujiokoa kwa kuvunja kioo cha mbele wakati wa dharula.
  5. K

    Msaada wa charging system yangu ya galaxy S3

    Sometimes huwa uchafu. Mimi siyo fundi. Unaweza chokonoa hilo tundu la kuchajia na mswaki, kabla ya kupeleka kwa fundi. It worked for me. Please toa feedback. Maelekezo haya rahisi niliyatoa google kwenye forum ya watumiaji.
  6. K

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    http://germanhistorydocs.ghi-dc.org/pdf/eng/606_Anglo-German%20Treaty_110.pdf
  7. K

    Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

    Hili dege hata tarehe 29 June 2012 mida 1400hrs lilikuwepo na likaondoka. Bahati mbaya picha sikuchukua vizuri.
  8. K

    Kazi za masharobalo

    Ina fundisho. Wengi wanapenda kuwafukuzia mabinti lakini wakishapata ujauzito huwakimbia.
Back
Top Bottom