Search results

  1. mpjbaba

    Msaada wa kuapply degree kwa kutumia diploma

    Unamaana gani kusema mwaka ulioanza chuo ndo uweke?????
  2. mpjbaba

    Mlio lipia kupitia M-pesa mlifanikiwa? System ya TCU mpaka sasa inasema hivi

    Pitia Nacte.. Km ulilipia mara ya kwanza usilipe tena, unaendelea ulipoachia palepale. Hata km utapitia TCU ingia kwenye registered candidates weka username iliokuwa unatumia NACTE na password km unakumbuka itafunguka na utafanya application zako
  3. mpjbaba

    TCU na NACTE kuna vijipu bado vina usaha. Leo ta19/08/2016

    Kama ulishaapply mara ya kwanza kupitia nacte... Kaendelee kulekule sabb hata ukiingilia TCU kwenye registered candidates wanakupeleka NACTE CAS.... Guide book waliyoitoa TCU inajieleza vizuri tu... Pitia NACTE kufanya application zako
  4. mpjbaba

    Vipi kuhusu Bachelor of agriculture economics and agribusiness?

    Mtu asikushauri vingine we tumbukia mzima mzima SUA hutojuta
  5. mpjbaba

    Vipi kuhusu Bachelor of agriculture economics and agribusiness?

    Chukua Agriculture economics ans AGRIBUSINESS hujuti maisha yako yote.. Hiyo ndo kozi iliyosimama
  6. mpjbaba

    Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

    Kuna AGRICULTURE ENG..., IRRIGATION AND RESOURCES ENG... WATER RESOURCES AND IRRIGATION ENG. Mambo ya AGRIBUSINESS AND ECONOMICS kozi zenye mashiko kabisa na ukimaliza tu NG'Os kibao wanakuhitaji..., wadhamini tele wanasubiri tu ujue kuandika proposal iliyosimama kwa project inayoeleweka watu...
  7. mpjbaba

    Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

    Usifuate mkumbo kuwa wenzako wanataka kusoma nin... Basi na wew unataka kusoma hiyo hiyo... Nchi yetu ni changa bado kimaendeleo, angalia nchi ipo katika wakati gani na vipaumbele vyake ni nin kwanza. Halaf chagua koz ambayo ni inaenda kuamua uelekeo na mustabali wa elimu yako katika swala zima...
  8. mpjbaba

    Ushauri: Nisome Computer Engeneering au Telecom Engeneering

    Vijana bhana mbona koz ambazo zinatolewa na chuo kama SUA hamziongelei??
  9. mpjbaba

    Sponsorship za vyuo vya kilimo

    Waliopita hapo hiyo coz wanaiita LUP usiijaribu kuisoma.... Km unategemea ajira zitoke uombe utasugua sana bench...hautaona ajira na ukitaka kujiendeleza ardhi university watakukataa, itabidi tu ubadili ukapige mambo mengine..
  10. mpjbaba

    Nijuze kuhusu Biomedical engineering

    Ingia google kuna maelezo ya kutosha.. Ukisubiri watu waje wakupe maelezo hapa utakesha na watakukatisha tamaa wengine
  11. mpjbaba

    Nilitaka nisome education(arts) ila nimeghairi naomba transport and logistics management

    Kwann usisome land management and valuations ipo ardhi Mtu wa HGL anaweza soma?????
  12. mpjbaba

    Elimu ya Tanzania kupanda viwango 2016/2017

    Hatimaye sasa ubora wa elimu na ufaulu umeanza kuzingatiwa katika kusomea vyuo vikuu nchini. Masomo ya science yalipoteza heshima yake kabisa, mikopo iligawanywa kiholela holela tu. Sasa wimbi la walimu wa science litaanza kuongezeka kwa kasi, kwa maana hao tu ndo watapata mikopo kwa asilimia...
  13. mpjbaba

    TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Heshima itapatikana ty mjini. Na kwenda chuo kikuu itakuwa sio jambo la kirahisi kihivyo... Ukipata marks husika lazima ukashukuru mungu na ufanye sherehe kabisa Hahaahah hatar sana
  14. mpjbaba

    Wale wote tulioapply kozi za Afya kupitia NACTE tukutane hapa!!

    Ingia website ya nacte ukavune ulichopanda... Mambo hadharan saiz.... Ingia leo hii
  15. mpjbaba

    Msaada kujaza fomu ya HESLB 2016

    Usijali mkuu yupo hapa kusaidia
  16. mpjbaba

    Msaada kujaza fomu ya HESLB 2016

    Weka picha kwenye computer yako...... Then right click, nenda kwenye option ya edit. Ingia hapo picha yako italoadiwa then tafuta sehem imeandika resize. Km kuna sehem imeandika percentage na nyingine pixels, click kwenye pixels halaf type 150 kwa 120 weka ok then save kwa jina unalotaka...
  17. mpjbaba

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Kwaiyo wanataka ya rangi sio...? Maana printed pages za black n white hazinatofauti na copy..
  18. mpjbaba

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    Hivi hawa loan board form zao unaprint na rangi au kawaida...!? Mbona hawaweki mambo wazi hawa
  19. mpjbaba

    Post Form Four Education ni tatizo HESLB

    Huwezi anza upya sbb utakuwa ni km umelog out tu. Ila hiyo ni baada ya kupata username yako na password.. One step at a time. Jaza kwanza maswala ya kuprint na kutuma ni baadae sana. Jaza softcopy-print-jaza hardcopy kwa pen nyeusi tu- tafuta sahihi na mihuri yote inayohitajika-kacertify...
Back
Top Bottom