Search results

  1. winluck

    Baada ya zee lake kutumbuliwa jipu karudi kwangu kwa magoti

    Inaonekana bado una mpenda basi msamehe na ukubali kubeba yote yatakayotokea
  2. winluck

    Mwenye taarifa ya soko la Hoho

    Hizo hoho ni green, red au yellow?
  3. winluck

    Nimepokonywa simu yangu na polisi

    Nenda kwa mkuu wa kituo umwelezee hiyo issue utarudishiwa
  4. winluck

    Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Hiyo hali unayoisikia sio wewe ni pepo na msaada upo kwa Yesu pekee dada yangu ..tafuta mchungaji au mtu aliyeokoka kwa dhati akemee hilo pepo na utapona. .Pole sana na amini tu utakuwa powa after maombi
  5. winluck

    Nataka nianze kutumbua majipu kwa mke wangu

    Kaka hilo sio jipu...na wala husimuulize unachotakiwa ni kumpenda zaidi na utashangaa mambo yanarudi kama mwanzo na kuzidi
  6. winluck

    Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

    Hii issue uanza pale unapotumia sana shisha mwisho unajikuta umeshavuta na ndumu. .. Mungu awasaidie
  7. winluck

    Nauza Dell laptop HDD 500gb, ram 4gb core i5

    Picha na contact please
  8. winluck

    Laptop inauzwa bei sawa na bure

    Kama unazo nyingi na mpya au used kidogo tuwasiliane nahitaji kama 10pcs
Back
Top Bottom