Search results

  1. mrisho nzunda

    Naomba kuuliza jamani: HIV na Kisukari ni ipi ya kusaidia?

    Ndugu unaposema wanaoishi na HIV ni kwa ajili ya viherere vyao completely you are wrong and it an illiteracy quotation from u'r former leader,Je waliozaliwa wakiwa na maambukizi?Je waliopata maambukizi kwa ajili ya ajali?Usitukane mamba hujavuka mto na ukumbuke kwamba kila kiumbe chenye uhai...
  2. mrisho nzunda

    Naomba kuuliza jamani: HIV na Kisukari ni ipi ya kusaidia?

    Hivi mpaka sasa tiba ya watu wanaoishi na HIV haijapatikana? au mataifa ya magharibi yanaendesha uchumi wa o kwa kuuza dawa za ARV?
  3. mrisho nzunda

    Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

    Kwani nini hakiwezekani.
  4. mrisho nzunda

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Kama ckosei kipindi cha campaign Lowasa alisema kwamba atapunguza mshahara wa rais toka milioni mia nne hadi milioni mbili kwa mwezi.
  5. mrisho nzunda

    Askofu Mkuu KKKT auchambua utawala wa Rais Magufuli

    Siasa ndo maisha tunayoyaishi kaka kila unapolala maisha yako yote yanaongozwa na siasa.Sasa nitashangaa wewe unapostaajabu kwanini hawa wanafalsa wanajiingiza kwenye masuala ya siasa,kwani wao wanaishi ktk sayari ipi?Navyojua mimi siasa safi na makini na kiongozi madhubuti ndiyo chanzo cha...
  6. mrisho nzunda

    Majambazi yakatisha maisha ya Magesa kisa pesa

    Hizi ni information ya kweli au ni uongo tu?
  7. mrisho nzunda

    CCTV Camera yanasa tukio la kutisha la Ujambazi Salasala

    Mbona kama movie vile?Hawa jamaa wakifika Bukoba wataua watu wengi sana.Sababu mhaya kutembea na mamilioni ya hela mkononi huzania ni sifa kumbe ni ku risk maisha yake.
  8. mrisho nzunda

    Membe, honestly hatukuelewi!

    Aende akalime korosho.
  9. mrisho nzunda

    Ogopa sana kuzaa mtoto asiye na kisogo!

    We need scientific research.
  10. mrisho nzunda

    Osaka Raha, Bukoba to Dar siyo gari la kupanda

    Hao jamaa ndo tabia zao.Ila kama sikosei ITV kuna fulani huwa wanaitoa kwa ajili ya abiri wanaopatwa na shuruba kama hizo.
  11. mrisho nzunda

    Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Really I have proved that Gwajima is a hypocrite person.
  12. mrisho nzunda

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    Hii nchi inatakiwa ipelekwe mpelampela waropokaji kama kina kubenea wanaotafuta political kick they must be punished heavily.Hongera makonda
Back
Top Bottom