Search results

  1. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Mkuu nina hakika kabisa,aidha hii Sheria haikugusi au huna jamaa wa karibu waliotswa nayo. Lakini it's illogical kabisa na haijaangalia maisha ya hao wastaafu na ndio maana wao wamejifanyia exemption. Mimi nimefanya kazi private katika majukumu yangu yote sehemu mbali mbali na makato ni...
  2. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Sasa mkuu tofauti ni ipi, nimekwambia Mimi nakatwa kumi na mwajiri asilimia kumi na ndio hicho kilichohoandikwa hapo juu. Hakuna mwajiri yeyote atakaekubali kwenda na option ya pili kwamba achangie yeye zote! Sheria hiyo ingekua ina manufaa hivyo, kwanini wao waliopitisha wamejifanyia exclusion?
  3. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Hilo ndio la msingi mifuko imefikisika wanaleta story za kipuuzi. Mtu akila pesa zake zinakuhusu nini? Yyte anaetetea Sheria hiyo yeye hamhusu au ndugu zake. Ni kawaida ya binadamu kuwa na ubnafsi
  4. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Hiyo ni private gani? Mimi nachangia asilimia kumi na mwajiri wangu asilimia kumi na inakatwa straight. Kimsingi hii Sheria ni ya kipumbavu unless kama hazikuhusu!
  5. J

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Na kwa watumishi wa private ambao serikali haichangii hata mia unasemaje? Mtumishi anakatwa asilimia kumi na mwajiri asilimia kumi?
  6. J

    Kama unataka kuoa single maza pitia hapa

    Halafu ukute baba watoto alikua na pipe ya kueleweka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. J

    Kama unataka kuoa single maza pitia hapa

    Aaah wapi wakae na uzoefu wao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. J

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Acha amchezee Simba kama hajachezea bakora!
  9. J

    Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

    Inaonekana mzee na wew umekolea, hapa unatupanga tu!
  10. J

    Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

    Songa mbele mkuu, kwanini MTU akufanye chaguo la pili baada ya mambo yake kufeli huko? Huyo anatafuta mtu wa kumlelea mtoto wake. Pisi kibao kitaa! Piga chini, mwambie hata wewe unampenda ila kwa sasa una mtu. Usionee huruma mwanamke.
  11. J

    Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. J

    Aliyeozeshwa mtoto ahukumiwa miaka 30 Jela

    Given Michael anaozeshwaje na Shekhe?
  13. J

    Suala la abiria kwenye mabasi makubwa ya mikoani kujaa hadi wengine kusimama limehalalishwa?

    Inakera sana MTU umekaa kwenye siti mwingine anakuja kukusimamia na kukupa shida!
  14. J

    Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  15. J

    Hali imekuwa ngumu sana, naona mambo yanazidi kuwa magumu tu

    Yani watu ni wezi na wala rushwa sasa hivi balaa!
  16. J

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom