Search results

  1. S

    Zitto Kabwe: Nusu ya walimu wanalipwa mishahara ya bure, hawafundishi

    Sawa mie sibishi ila fatilia ata walimu wa daresalam sana sana shule za kata na wao hawaingii madarasani kufundisha kwa nini?na wengine wana magari yao kabisa wanaendesha..mwanangu yupo shule ya msingi apa dar kwa siku wakisoma sana ni subject mbiri sasa jameni maisha magumu kwa walimutu na tena...
  2. S

    Mfanyabiashara wa Dar mwenye asili ya Somalia, Mohamed A. Nur atangaza kugombea urais Somalia

    Izo inchi sio somalia..waulize wakenya hao majamaa hawana jema man!!
  3. S

    Nimetishwa, kushitushwa na kuogopeshwa na kauli hii ya Rais Magufuli. Alimaanisha nini?

    Umeshituka,kuogopeshwa,labda kwa vile kwenu uliko sukari una nunua kwa kilo elfu moja...
  4. S

    Watanzania mbona hamjahoji uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa?

    Mimi sio sheria,kama unakuja na madai uje na evidence pia,you can't ask me who is magu when here at jf everyone calls him that!check kwenye text zingine ulizo quote and uwaulize the same!
  5. S

    Watanzania mbona hamjahoji uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa?

    Zilipigwa bei ya chini na wakina nani walinunua?alfu una evidence gani magu alihusika?maana kama mimi sielewi kama h akuna evidence.. ..sasa kama amna evidence nikama story ya mtaani ndio maana inavumaa alfu tunaachana nayo tunasonga ..
  6. S

    Mch. Peter Msigwa, kwa Mahojiano ya ITV jana umechemka sana

    una maana izo hela za sherehe uwa zinapita kwanza bungeni na wanazibariki wa bunge kwa sherehe?basi wabunge wetu hawafai!magufuli ni jembe
  7. S

    TB Joshua ampaisha tena Rais Magufuli

    Nimependa sana ..umeeleza ukweli u tapingwa maana macho wanao hawaoni,maskio wanao Íla hawasikii.kizazí cHa dot.com
  8. S

    TB Joshua ampaisha tena Rais Magufuli

    UmeonAaa eeeh
  9. S

    Mkuu wa mkoa aandaa tafrija ya kupokea madawati 81 mkoani Tabora

    Kumbuka kwenye harambeÉ yao yakuchangasha madawati hao wote walitoa aÙ kuahidi michango yao,..sioni ajabu na kama walikunywatu maji...
  10. S

    Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Z. Kabwe, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama Jijini Dar

    Hilo ndo la msingi na la maaana sio live bunge,watanzania tuamke..ata ukiona live hakusanyi maoni ya mtu mmojammoja
  11. S

    Wasomi wahoji ububu wa UKAWA bungeni

    Ili ueleweke umetumia neno sheria,sheria ila nimesoma between the lines hauna point...
  12. S

    Tanzania ya viwanda na walio wengi wenye kutaka kufuatilia bunge live

    Na hoja zao zinapita ata ukiona live au marudio..na hao wapinzani hadi wana susa sembuse wewe unaeona kwa tv huna lakusema au maamuzi yoyote..
  13. S

    Rais Magufuli kuingilia mihimili mingine na kuvuruga taratibu kuna hatari mbeleni kuficha maovu!

    Mimi na shangaa sheria sheria kwani sheria ipo awamu ya tanotu?awamu zingine haikuwepo?na una proof gani Àwamu zilizopita hizo sheria zilikua zinafwatwa??serekali ina vision ila nivigumu kuongoza wananchi ambao hawana vision!!!
  14. S

    Ushauri: Rais Magufuli mfutie kesi kijana huyu

    What????jamani unatafuta comments sio bure
  15. S

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    Mmm mbona magufuli ni mgeni ofisi ya uraisi lakini anawatumbua wenyeji?
  16. S

    Hakika Pasco alikuwa sahihi kuhusu Magufuli

    Kwaio yeye kwavile ni boss anapereka ripoti kwa raisi bila kufanya uchunguzi jamani kweli?usitetee kitu cha namna hii
Back
Top Bottom