Search results

  1. mankind

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu router yako ya airtel hiyo USB-C port inafanya kazi yoyote?mimi najaribu kuitumia kucharge na hata nikiconnect kwenye computer haifanyi chochote.
  2. mankind

    Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    Halafu nyimbo kama life goes on,how long will they mourn me,troublesome etc sio popular huku TZ lakini ni moja kati ya nyimbo kali za Tupac,hawa watu hawamjui bhana Tupac ndiyo maana wanamlinganisha eti na Eminem.
  3. mankind

    Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    You are spitting facts.
  4. mankind

    Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    Jamaa anaonyesha hajawahi kwasikiliza kina Tupac na B.I.G maana kuwafananisha na Eminem ni matusi makubwa sana kwao Eminem hajawapita kwenye sehemu yoyote ile wala kuwafikia.
  5. mankind

    Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    Vutu vyote ulivyoviweka hapo Tupac alishaviimba tena kwa ubora wa hali ya juu,umeshawahi kweli kusikiliza nyimbo za Tupac au unaongea kishabiki tu?
  6. mankind

    Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Nalala kwa tabu-DDC Mlimani park
  7. mankind

    Msaada kuhusu window 11

    Yupo sahihi ni moja ya minimum requirements hiyo.
  8. mankind

    Wanaotafuta dawa ya kuacha ulevi tukutane hapa

    Angekuwa anajielewa asingekuwa analewa kwa kiasi hicho kila siku.
  9. mankind

    Alexander the great, Mfalme aliyepania kuitia dunia kwenye kiganja

    Licha ya uwezo wake mkubwa kivita mbabe wake alikuwa ni jamaa mmoja fukara sana anayeitwa Diogenes.
  10. mankind

    Harusi za Wasomali ni nusu vita

    Si ndiyo hapo nilitaka nishangae,kila nikiwaangalia muonekano wao na mazingira yao naona wamekaa kiyemen kabisa halafu OP anasema ni wasomali.
  11. mankind

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Football Live Stream | Watch Football Free Streams | FreeStreamsLive. Ingia humo utaiona game ya simba ina link kama 5 hivi za lugha mbalimbali.
  12. mankind

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mimi that winter the wind blows ndiyo pekee ambayo sijaiangalia katika drama zake za miaka 10 iliyopita. No Hee Kyung hana drama mbaya.
  13. mankind

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Lol...Han Ji Pyeong the heart breaker. Jamaa character yake ni bora sana ukilinganisha na Nam Do Sam sema ndiyo hivyo tu writer analeta shida.
  14. mankind

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Huwezi kuwakilisha android zote duniani wakati zina features na specifications tofauti kabisa. Mtu anayetumia Tecno au Samsung ndogo hizi hawezi kufanana na anayetumia Samsung,Sony au LG flagships eti kisa ni android zote sababu hata android zenyewe versions zake pamoja na UI zake zipo tofauti...
  15. mankind

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Samsung wameshaiga na hilo kama hujui,ishatangazwa kuwa na wao wataacha kutoa charger.Inaonyesha wewe sio mfuatiliaji umeamua tu kuongea vitu ambavyo hata huvijui. Source: Samsung to stop bundling chargers with phones next year, report says
Back
Top Bottom