Search results

  1. WAIKORU

    Kwa wale Wapenzi wa Wenzangu wa Muziki wa Congo DR ( Bana Bandeko Nangai ) hivi Bendi ya Wenge Musica BCBG isingevunjika leo tungekuwa na huu Ubunifu?

    Hata sasa hapa nilipo nina earphone nakula ngoma ya Wenge musica bcbg ra rose verte.....muda si mrefu nilikuwa nasikiliza Titanic (album nzima).. Wenge jana, leo, kesho na hata milele
  2. WAIKORU

    Mrejesho: Hatimaye nimepona fungus za sehemu za siri...

    Ndgudgu yangu nateseka sana na fangasi, naenda kununua tangawizi na limao za kutosha...ntajitahidi nifanye kama ulivyoelekeza
  3. WAIKORU

    Kumi-kumi za wateule (muziki uliokomaa, muziki ulioenda shule)

    Big up kwa Andiko zuri,..kwangu Wateule ni moja ya makundi bora ya muda wote kwenye muziki wa Bongo... Malegend hawa...
  4. WAIKORU

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Benfica ni matapeli,...ni heri tungeenda Simba tumchukue John Boko badala ya kwenda kuuziwa garasaNunezi
  5. WAIKORU

    Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

    Kwa Allah anaishi China? Huwa naskia wanasema Allah blah blah, Allah sjui nini... ..Pumbavu kipigo walichopata hawatosahau milele
  6. WAIKORU

    Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

    Kwanini asihamishie ofisi yake huko ili asipate shida ya kusafiri kila mara kwenda huko? Nadhani ikulu ya Dom tungeijenga Riyadh ama Doha ili mama yetu kipenzi asipate shida ya kupanda ndege kwenda kutafuta fedha za kuwainua Watanzania kiuchumi.... Mama mitano tena jamani, anafanya kazi kubwa...
  7. WAIKORU

    TEC wameiva kisaikolojia, waraka kusomwa wiki 6 mfululizo si bahati mbaya

    Uje kufanyeje? Wambie BAKWATA waandae wakwao wa kusifia usomwe hata mwaka
  8. WAIKORU

    Nimeshindwa kuamini gharama za Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

    Pombe ni tatizo sana....nami nikiwemo walah zinatutesa
  9. WAIKORU

    Singida Wamenyimwa Goli halali na Mwamuzi wa Pembei

    Kwa nini uteseke wewe Utopolo, na waliofungwa ni Singida...? Kunywa maji ukalale...😂😂
  10. WAIKORU

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    DM ni tatizo, beki wa kulia ni tatizo pia..pamoja na Gomezi kuingia nae ni bure tu.......
  11. WAIKORU

    Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    da!!!!,mzee leo umechafukwa sio kawaida..😂😂 Naona unaenda nao kiulaloulalo...hawapumui😂😂
  12. WAIKORU

    Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Kwa suluhisho hilo, mtakufa sana qmmke...hakuna wa kuwaonea huruma
  13. WAIKORU

    Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Wasisahau kuuchomeka mwiko hapo nyuma yao....😂😂
  14. WAIKORU

    Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Mwambie apite hivi,...Ushauri hatutaki😂😂
  15. WAIKORU

    Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Kama ni Ubaguzi, hakuna mbaguzi na mkatili na jitu lenye roho mbaya kama mwarabu... Acha waipatepate kwanza, Amani itakuja baadae...
  16. WAIKORU

    DRC: Yalipuka mapigano makali kati ya waasi wa M23 dhidi ya Wazalendo

    Wanajeshi wa DRC utadhani walichukuliwa kutoka Dar,... Hawana tofauti na Wanaume wa Dar, wanaokimbia panya road
  17. WAIKORU

    Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

    Wameyatimba qmmke.... Watajua hawajui na magauni yao
  18. WAIKORU

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Punguza makasiriko Asernane8, Spurs huyuhuyu aliyewashindwa ndo atusumbue.... Kesho si mbali, tutamkaza za kutosha
  19. WAIKORU

    Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais Samia Suluhu Hassan anatosha

    Kwa hapa tulipofika, mtu yeyote anayetokea upande huo simuamini tena.....
Back
Top Bottom