Search results

  1. hapakazit

    Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

    Mikambo mibale covered by faya tess
  2. hapakazit

    Mtu na mzazi mwenzie

    Kabla hujafikilia cha kufanya unganinisha hizo bullet uone chain inafika wap Mkei,wewe,mchepuko wako (nyumba ndigo), mchepuko wa nyumba ndogo yako, mchepuko wa mchepuko wa wa nyumba ndogo yako,,,,, Kwa kuwa tuna mheshim mkeo tusizungmzie chain yake akiwa likizo tuassume alikua sterile Ushaur...
  3. hapakazit

    Nawezaje kupata transcript ili nifate leseni Dodoma?

    Sio kweli transcript inatolewa na nacte kupitia web yao unalipia then wanakutumia kupitia ofisi za jiran ulipo Baada ya kulupia mm nilikaa wiki moja nikapigiwa sim nikaenda mby zonal office kuchukua
  4. hapakazit

    Basic math test that most people get wrong

    Kwani swali limesema alipata wapi the 1st 60 usd
  5. hapakazit

    Basic math test that most people get wrong

    Watu waliosoma project apraisal hawawezi kukosa hili swali tena ukitaka tukupe na faind when it is discounted and non discounted
  6. hapakazit

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Wajadi fundi wajadi binadam mashaka kutoka mahuta shimoni kipindi hicho mwaka 1996 rtd kipindi cha jambo na malima nderema kuanzia saa 1.20 asbh
  7. hapakazit

    Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    Hayo ni maelezo ya ujumla. Ndo maana nimeweka broad pdx ningekuwa nimemwona na kumpima dx isingekuwa ndefu hivyo ndo maana nikaweka na possible causes za hyo bleeding ningemwona obviously cause ingekuwa moja tu au sio obstetrician Ma gynecological mna raha sana miaka yote mnasoma kiuono tu so funy
  8. hapakazit

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Hili swala waende wakapate uzoefu kwa mzee wa kiraracha yy anajua walichofanya na mzee mkapa rip kuwamaliza majambazi hasa waliokuwa. Mby rpc akiwa kova au mwema kama sijakosea na rc alikuwa mramba majambazi wa chunya na kila eneo walikimbia hadi leo jombi hajulikani alipo miaka mid 90's hapo...
  9. hapakazit

    Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    Sepsis 2' induced incomplete septic abortion And that bleeding could be caused by 4t Tea (perforations ) Tussue retation products of concept Tone uterine involution Thrombi caused by sepsis Hyo ni hatar mgonjwa anahitaji msaada wa kitabibu
  10. hapakazit

    Gari ya maiti imepata ajari marehem afariki tena

    Polisi katika jimbo la kaskazini mwa India la Uttar Pradesh ametoweka baada ya madai kwamba alimbaka msichana wa miaka 13 ambaye alienda polisi kuripoti kwamba alibakwa na genge la vijana. Kesi ya jinai imesajiliwa dhidi yake na amesimamishwa kazi, afisa mkuu wa polisi alisema. Katika malalamiko...
  11. hapakazit

    Msaada: Mdogo wangu anapata vidonda hivi kichwani. Suluhisho ni nini?

    That is my impression for the single look
  12. hapakazit

    Msaada: Mdogo wangu anapata vidonda hivi kichwani. Suluhisho ni nini?

    Hyo inaitwa taenia capitis chronic fungal infestation
  13. hapakazit

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Narud tena kwenu wanabodi natafuta wimbo unaitwa tuelewane mke wangu na maali mwalim gurumo kutoka juwata jazz
  14. hapakazit

    Kabila lako limetoa mtu gani maarufu?

    Izo b anaitwa Emmanuel simwinga ni mnyamwanga wa songwe na ay ni mnyakyusa wa mby we kabila gan kati ya hayo
  15. hapakazit

    Kabila lako limetoa mtu gani maarufu?

    Tuntemeke sanga hansi kitine, prof nowman msigala, binilith mahenge na mdogo wangu fred vunja bei Uvhukinga tulivhakenga ila tulivha borntown
  16. hapakazit

    Picha za vyombo mbalimbali vya usafiri

    Home sweat home hapo kutoka oilcom unashuka unapanda mlima wa nyoka then itewe hom ukitoka itewe, imezu, inyala shamwengo ilongo theni bonde la usangu missing home
  17. hapakazit

    Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

    Naomba link[emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom