Search results

  1. mguu

    Watu weusi na ubaguzi dhidi ya Waarabu/ Uislamu

    Waarabu wanachukiwa na baadhi ya watu ingawa sio wote kutokana na uchafu walioufanya enzi za ukoloni. Alafu pia kihistoria ni wavamizi wa eneo hilo la misri. Misri ilikuwa misri ya watu Weusi sio hiyo ya waarabu. Ni wavamizi. Alafu wengine huwatenga watu weusi katika sala misikitini.
  2. mguu

    Huyu ndio Tundu Lissu na hivi ndivyo anavyopokelewa na wenzetu huko nje ya nchi

    Ndugu yangu muombee kwa mema uanayaona kuwa yanafaa ila tambua vya kupewa vina gharama zake. Baada ya kupewa kinachofuata na masharti ili uwe chini yao hapo ndipo panapoanzaga tatizo. Mwisho ukikengeuka unakufa.
  3. mguu

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ushauri wangu, mteja ajue salio lake kabla ya kutuma au kununua salio wakati wa kuaccess M pesa. Yaani kabla ya kuthibitisha yaje maneno kama haya; Tuma au nunua sh kadhaa salio lako litakuwa sh kadhaa baada ya hapo ije step ya kuconfirm. Hii Itapendeza kuliko
  4. mguu

    MAJINA YANAYOPATIKANA SANA KWA WAISLAMU WATU WEUSI KULIKO WAARABU

    Mum!!! Nimepata uelewa kidogo ila na hao wenzetu waarabu wakubahatika kuzaliwa siku kama hizo hapo ndipo huwa pananifanya nihoji. Ila kwa kiasi fulani nashukuru kwa jibu lako.
  5. mguu

    MAJINA YANAYOPATIKANA SANA KWA WAISLAMU WATU WEUSI KULIKO WAARABU

    hello Jf members! Nimekuwa nikijihuliza sana hivi ni kwanini kuna majina ambayo mara nyingi hupatikana kwa waislamu weusi kwa mfano khamis, Maulid, Abasi na mengine mengi maana hata ndugu yangu mmoja anaitwa kwa majina kama hayo. Naomba msahada wenu labda mimi nina uwelewa mdogo juu ya hili.
  6. mguu

    Natafuta kazi ya Scuba Diving

    Napenda sana kuiendeleza kazi yangu ya diving na maeneo mengine zaidi.
Back
Top Bottom